Ajira kwa vijana na maisha bora kwa wote hii ndio Tanzania na Ahadi za JK kuondowa umaskini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira kwa vijana na maisha bora kwa wote hii ndio Tanzania na Ahadi za JK kuondowa umaskini.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, May 6, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Polisi Yasomba Wapigadebe Posta Mpya


  [​IMG]
  Juu na chini ni WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo.
  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile alisema wapiga debe hao walikamatwa juzi saa 10 jioni katika msako wa polisi uliofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ilala.
  Kamanda Shilogile aliwataja watuhumiwa hao ni Joseph James (22), Joseph Gidion (18) Magumu Kichumu (32) na Wilson Martine (25).
  Katika tukio lingine, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke David Misime
   
 2. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Mmmh mmmh mmmh! Jamani hawa si mlikua mnawatuma wakusanye zile 200,300 kwa kila gari ? Na michango ya kuwapa wazee wa flavour kila uchwau...leo vp ? Sasa yale madawa ya kulevya mtauza kweli kama mnawasumbua hv ? Haya mi naenda feri kucheki kama kile kitabu chako kiliondole wa mkuu...! Naapa naahidi mbele ya chama CHADEMA ntakulinda mpaka kufa..kwa sababu bila chadema tunaenda shimoni....! Mje mtukomboe
   
 3. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dr.slaa alisema sana ktk ahadi zake,kuendelea kumpa kura Mwizi No 1 wa taifa hili yule ******.NI KULIDIDIMIZA TAIFA.
   
Loading...