Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Apr 28, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,390
  Likes Received: 10,586
  Trophy Points: 280
  kisa ni kuwatetea diwani na mtendaji wa kata ya nkome.hii imetokea kwenye mkutano wa hadhara.
  Source ITV

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa CCM Jimbo la Geita amenusurika kichapo leo hii baada ya kutuhumiwa kulinda ubadhirifu katika baadhi ya kata Jimboni humo.

  Amezomewa na wananchi na mkutano umevunjika na wananchi wanasema hawamtaki Mbunge huyo wala diwani.

  Source: ITV News.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Angeshituliwa tu kama alikuwa anatetea uovu.
   
 4. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nimeiona, hii ndiyo dawa yao, lazima tuwazomee sana kama hawafanyi yale tuliyowatuma pamoja na tabia ya kulindana wakati watanzania tunaumia
   
 5. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Itv saa 2 wameripoti na kuonyesha wananchi wakifumukuza mbunge, diwani na mtendaji pale Nkome kwa sababu wananchi wanasema hawa ni majambazi na hawamuhitaji. Mbunge huyu alikuwa anafanya mkutano wa hadhara na wananchi. Mkutano umevurugika na kuvunjika!!! na mbuge akakimbilia vichochoroni kunusuru maisha yake.
   
 6. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwenye urefu wa habari atujuze,maana itv wameitoa kiufipi sana mda si mrefu.
   
 7. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Azomewa na wananchi katika eneo la nkome na kutimua mbio ili kunusuru maisha yake. EWananchi wamesema hawamtaki.
   
 8. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  M4C iko kazini,
  Shukrani za dhati kwa kamanda Lema na Dr. Slaa amakweli wana wa nchi wamefunguka
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  pia wananchi wanadai juzi alienda na majambazi wakawapiga mabomu wanachi na yeye badala ya kuwapa pole akaenda zake kutembelea kijiji kingine na wamesema kijiji chao akione kama kituo cha polisi
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,390
  Likes Received: 10,586
  Trophy Points: 280
  uongozi ni balaa!

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nafikiri raia wa geita ni wajanja sana kumtimua mbunge kama mwizi.
   
 12. D

  DOMA JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Viva cdm mwendo huu huu mpaka 2015
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Viva Wananchi kwa kukataa maovu. Ni mbunge wa chama gani huyo?
   
 14. M

  Mtanganyika mweusi Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anamsifia jk nini
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Halafu cha ajabu alipopigiwa cimu kuulizwa akakanusha hakutaka kupigwa wala hakuzomewa wakati wameonyesha kwenye TV wakati alipokuwa anatafuta uchochoro wa kutoka nduki..! Bravo wananchi.. Anaekula hela zenu za michango wapeni vibano.. Wezi wakubwa hao..
   
 16. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  alafu alipo ulizwa akajibu eti hajazomewa wakati hata mwenyekiti wa kijiji kathibitisha kuwa amezomewa
   
 17. D

  DOMA JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  gamba mkuu CCM
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lazma ni wamagamba huyu
   
 19. m

  mchachai Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pipoz inatsha ni soo halafu alivyokuwa boya anapgiwa cm na mwndsh anakataa kuwa hakuzome.hawa dawa kwny na mawe kwny mikutano.....
   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lema kamwaga sumu,jamaa chupuchupu WANANZENGO WAMTOE ROHO KWA KUTAFUNA VIJISENT VYA CHOO,WAMESEMA HAWAWATAKI MAGAMBA,MBUNGE KAKIMBIA PEKU.
   
Loading...