Je Aliye Ua na Kuuaza Mashirika ya Umma na Viwanda anafaa Kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Aliye Ua na Kuuaza Mashirika ya Umma na Viwanda anafaa Kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, May 6, 2012.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kwa kumbukumbu yangu nakumbuka Dr Abdallah Kigoda alikuwa kiongozi wa wizara ya uchumi na mipango ambayo ili isimamia PSRC kuuza mashirika na viwanda , ambavyo leo hii havi fanyi hiyo kazi zaidi ya kuwa ma-godown na kuwekea bidhaa. sasa mtu kama huyu ambaye wakati huo alishindwa hii kazi leo hii ndio tunamtegemea kubadili mambo na kutuletea tija?
   
 2. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Labda kwakuwa ndie alieviua ndie atakaejua namna ya kuvifufua!
   
Loading...