Katika katiba mpya elimu ya nchi hii isimamiwe na nani na iwe na uhuru na ikaeje mbali na siasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika katiba mpya elimu ya nchi hii isimamiwe na nani na iwe na uhuru na ikaeje mbali na siasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mansakankanmusa, May 6, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  ni muhim sna elimu na siasa vitengwe na katiba ndo mwake unaonaje? wewe mwana jf?
   
 2. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  wanasayansi tutawapataje kama elimu itaanzakupigwa mateke?
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mimi nashauri mfumo wa namba kwa watahiniwa badala ya kuandika majina yao halisi urudi
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  ni kweli, lakini unadhani ndio dawa kweli? fikiria zaidi ya hapo bado sana
   
Loading...