Mfumo upi?wa utawala utakaotufaa watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo upi?wa utawala utakaotufaa watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.kibulala, May 6, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanaJF,NI TAKRIBANI CKU MBILI ZIMEPITA TANGU RAIS JK AFANYE MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI,LAKINI BAADA YA KUFANYA MABADILIKO HAYO MAONI MBALIMBALI YAMETOLEWA NA WATU WA AINA TOFAUTI(wasomi,wanasiasa n.k) WAKILALAMIKIA MFUMO ULIOPO HAU2FAI& NDIO UNALETA MATTZO YOTE HAYA na KUBADILISHA MAWAZIRI NI KAMA KUPAKA SIAGI KTK MKATE ULEULE TU.Kwa kama wanaJF(Great thinkers)toa maoni yko ya mfumo upi utakaotufaa watz ili kuondokana na ombwe hli za viongozi walafi.NAWASILISHA
   
Loading...