Swali muhimu ambalo Takukuru wanatakiwa waulizwe possibly na waandishi wetu makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali muhimu ambalo Takukuru wanatakiwa waulizwe possibly na waandishi wetu makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seacliff, May 7, 2012.

 1. S

  Seacliff Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nimesoma quote za CAG Utouh kwamba kwa sasa yuko kwenye kuandalia ripoti mahsusi ambayo ataiwakilisha kwa Takukuru ili waitumie kusaidia kuwachukulia hatua za kisheria wale viongozi waliotajwa kwenye audit yake kuwa wabadhirifu. Kwa statement hiyo, wengi tunaelewa kwamba hiyo ripoti itakuwa na ushahidi wa kutosha kuwachukulia hatua za kisheria hao waliohusika.

  CAG anasema pia kuwa hata kama Takukuru wasingemwandikia kumwomba hiyo ripoti bado angewapelekea kama part ya kukamilisha audit yake na ili Takukuru waitumie kama evidence against hao wanaoshutumiwa.

  Tunajua pia kuwa ripoti ya CAG kila mwaka inawashutumu viongozi mbalimbali au inataja ubadhirifu na matumizi mabaya ya pesa ya umma kwenye sehemu mbalimbali. Kama CAG anawakilisha ripoti yake complete na ushahidi kwa Takukuru kila mwaka inakuwaje wamezikalia miaka yote hii na sasa wanajidai kupata moto wa kuifanyia kazi?

  Au kwa sababu Raisi amechukua hatua na wao wanajidai kuwa na nguvu ya kuchukua hatua? Kuna haja gani ya wananchi kutegemea chochote kutoka kwa Takukuru ambao wameishia kutumia hela ya umma ku-run organization hii muhimu kama kamradi ka mitaani? Hakuna lolote la kutegemewa toka kwa Takukuru ikiwa chini ya Hosea na mfumo wake wa sasa.

  Ni moja ya mashirika ambayo lazima yavunjwe na serikali ijayo (au bunge) na kusukwa upya ili wapewe nguvu na ajenda isiyowaogopa viongozi. Can you imagine ofisa wa Takukuru akiwa amekaa mezani across former Waziri anam-grind kuhusu matumizi mabaya ya madaraka yake? Atamwuliza nini? I can't picture it. Not even Dr. Hosea himself can do it!!

  I can see wabunge wanamkomalia Waziri Mkuu kwa sababu wametumwa na wameajiriwa na waTanzania lakini believe me, whenever Takukuru receives a phone call from the State House, they shake in their boots. Kwa maana nyingine ndugu zangu, tusitegemee makubwa.

  Hata kama Takukuru itapata nguvu fulani ya kimiujiza kama tuliyoona kwenye movie ya Avengers weekend hii waamue kuifanyia kazi hiyo ripoti ya CAG na kupeleka kesi mbele, bado kuna DPP ambaye amekuwa anaendesha kesi against mawaziri wawili wa zamani kwa miaka kadhaa sasa. Akipewa wengine saba si atachanganyikiwa?
   
Loading...