WanaKAHAMA wamkumbuka NGELEJA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaKAHAMA wamkumbuka NGELEJA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Brightman Jr, May 6, 2012.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni. Siku iliyofuata umeme ulikuwepo siku nzima lakini leo jumapili umeme umekatika tangu alfajiri hali ambayo imesababisha adhana kutosikiwa na waislam wakati wa swala zao, makanisani ibada zimefanyika bila ya vyombo vya muziki hali kadhalika wale waliofika kahama, huu ni mji wa viwanda vingi hivyo uzalishaji haupo kwa leo.

  Hapa inaonesha kuwa kuachia ngazi kwa Ngeleja kahama imeanza kuona umuhimu wake, maana kipindi yupo umeme uliachwa kukatwakatwa kama ilivyo sasa. SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  mkuu mimi nitoke zanzibar nije kahama kuona mgao? weka picha tuone jinsi ibada zilivyo fanyika bila vyombo vya mziki.
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, tatizo kimchina changu hakichukuwi picha vizuri; zinatoka nyeusi tii....
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  aisee!

  kwa hiyo kumbe ni kweli ngeleja alikuwa aki-abuse office kwa kujipendelea yeye na ndugu zake wa kahama?
   
 5. s

  sanjo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Thread zingine bwana hazina kichwa wala miguu. Tangu lini Ngeleja amekuwa mbunge wa Kahama?
   
 6. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu sio hivyo...! Kwanza Ngeleja ni mbunge wa Sengerema Mwanza na Kahama iko shinyanga, kwa hiyo hakuwa na upendeleo.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  napita
   
 8. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Hayo ni moja ya sababu za kumwagwa, hatutaki viongozi wanaopendelea kwao na kusahau maslahi ya wote.
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kahama kwa maana Ya BARRICK GOLD
   
 10. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, huyo mh. sio wa kahama.
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Acha kutumia masaburi kufikiria,watu tunajua mvua zinanyesha sana huko,na tanesco wanafanya service ya kubadiri nguzo zilizooza,tutolee ***** wako hapa.
   
 12. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ngosha kine'he.....yaaa ing'we....!
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kuna viwanda gani Kahama? Kibarabara chenyewe cha rami kiko kimoja na ni cha futi nne zinabanana gari, malori, pikipiki, baiskeli, power tiller, mikokoteni ya kukokotwa na wanyama, ng'ombe, punda, yaani ni balaaa. Kwa kweli watu wa Kahama jaribuni kutafuta wataalam wa mipango miji kabla hamjaachiwa mashimo na watu wa Barick
   
 14. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hivi ndugu yangu thread hii uliifikiria kabla ya kuipost?
   
 15. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Thread hii si ya kufikirika ndugu yangu, ni kitu halisi kabisa....
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ni kutesa kwa zamu. Kule kwa Prof. Muhongo mgawo wa umeme sasa ni ndoto
   
 17. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mkuu viwanda vipo Wilayani Kahama japo si vingi. Angalia hapa: KAHAMA OIL MILLS, BUNDAA RICE MILLS, KAHAMA COTTON GINNERY, KTM (DIAMOND) LTD, KISHIMBA CO LTD n.k.
   
 18. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwambie bhana ajue....! maana huyo si mwenyeji wa kahama.
   
 19. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Khaa..! Nafikiri wamesoma huu uzi maana toka jana hali imebadilika maumeme kibao. Jamani mpaka tuwaseme....lo!
   
 20. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  wangapi wanajipendelea sembuse ngeleja na wamechukuliwa hatua gan?haya mambo ya kujipendelea ndio yatakayoiingiza nchi hii kwenye machafuko,ona kuna baadhi ya maeneo tz hii umeme na barabara hadi vijijini,je walichangishana na hakuna raslimali zozote.

  Ona mikoa kama kigoma ,rukwa na lindi miundombinu ni ya ovyo kabisa!hata kwetu huku mara hali siyo nzuri sana ukilinganisha na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro na arusha. Huu ni wizi na ni lazima wengine tuhoji, najua vichwa makamasi mtalalama, karibuni.
   
Loading...