Mkulo atetea ufisadi wa PPF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo atetea ufisadi wa PPF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POMPO, Apr 6, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu: waziri wa fedha mh. Mkullo, ameendelea kutetea ufisadi wa PPF Kwa wafanyakazi (Management) na bodi ya PPF kulipwa hizo pesa (zaidi ya million 100 kwa kila moja) kasisitiza kuwa hata yeye NSSF alilipwa hivyo kwa sababu ni sera ya mashirika ya mifuko ya umma. Na hakuna sheria iliovunjwa. Na kwamba TRA walikata mapato kama kawaida.

  TBC- Bungeni
   
 2. koo

  koo JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unajua ukiwa jikoni kujua kua anaesubiri chakula ananjaa nivigumu sana huyu nimtu asiye na fikra kabisa
   
 3. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkulo ni mdhambi hawezi kusema kweli.

  1. Uondokaji wake NSSF haukuwa wa hiari, aliiba akalazimika kuachia ngazi mapema.

  2. Amelidanganya BUNGE tukufu kwa kuwa NSSF hawana utaratibu wa kulipwa Group Endowment. Alilipwaje?

  3. Anawatetea akina Erio kwa sababu Mkapa alimuokoa na kumweka peupe.

  4. Alihongwa Laptop kwenye members conference Arusha mwaka 2008 na PPF. Atasema nini? PPF wanapeleka misaada kibao Kilosa kwa kumrubuni.

  Mungu Mkuu atawaumbua maana watakapoijua kweli, kweli itawaweka huru.

  Zitto, maagizo ya kamati yako yasizamishwe na majibu ya kifisadi ya Mkulo.

  CAG ahoji wafanyakazi wa kawaida sio wakurugenzi ambao ndio wezi.


  Ni nguvu ya umma tu ndio itakayoikoa PPF.   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  utetezi wake ni reflection ya serikali ya chama tawala....
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa historia itawahukumu tu!
   
 6. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Matatizo mengine Rais wetu anajitakia mwenyewe.Watu walishamuambia kuwa Mkulo si mzawa na hana uchungu na nchi lkn yeye kaendelea kumkumbatia bila sababu za msingi.Matatizo mengi yanayotokea sasa hivi ni kwasababu ya viongozi wabovu dizaini ya kina mkulo ambao JK ameridhika nao wakati wanamharibia mpaka anaonekana kituko.
   
 7. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  wakati huohuo shule hazina madawati wala vitabu,zahanati hazina dawa wala wataalamu,barabara hazipitiki.nini vipaumbele vya hili taifa?kwanini tulipata Uhuru naamini tusingekuwa huru mkoloni asingekub ali huu ujinga.Kanchi tajiri kwa rasilimali viongozi na wateule wachache wanaishi kwa kufuja ilikhali wananchi wengi wanaishi kwenye umaskini wa kufa..people amkeni
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kazi ya kuanza kupiga mawe magari ya viongozi pamoja na wabunge mafisadi kama EL, Chenge RA et al ianze wajue kwamba Watanzania sio wale wa jana.

  Mtoto wako anaposhindwa kupata maji safi ni kwa sababu ya hao mafisi, mtoto anaposhindwa kupata elimu nzuri ni kwa sababu ya hao mafisi, mtoto anaposhindwa kupata matibabu ni kwa sababu ya hao mafisi, mtoto anaposhindwa kusafiri ni kwa sababu ya hayo mafisi ambayo yanafugwa na JK.
   
 9. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwakweli nji hii hatuna viongozi huyu mkullo anajaribu kujikomba tu pale NSSF hakuna GES alafu yenye alistaafishwa kwa maanufa ya umma kwani integrity zero kwanza i wonder how jk aliweza kumpa ofc wakati jamaa alichemsha pale nssf mpaka nkapa alimtoa kafara leo hii anasema ppf kwa malipo ya ppf thru GES ni sahihi okay najua kwanini mkulo alipewa toto moja pale ppf na erio kama token yaani kumzipa mdomo mkulo na hata huyo dada amekuwa meneja (lulu meengele). Sasa unategemea huyu bro atasema nini juu ya haya malipo ya GES wakati utaratibu wa 2002 ulikuwa kama motisha kwa permanent workers na siyo contract employees inamaana huyu mkulo hizo nyaraka hajaziona. Ndiyo maana hata wizarani wanamtenda huyu waziri kwani kuna kipindi aliwahi kulalamika kuwa directors wake watoa taarifa nyeti kuhusu yenye. Sasa kakulupuka suala GES waachi watu wafanye kazi ki-professional yaani AG, PCCB, GG na Usalama.
   
 10. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hii ni shida ya serekali kutokuwa makini..

  Mtu alikuwa mwizi nssf kapewa uwaziri... Nadhani shida ni kubwa kwenye nchi yetu..
   
 11. MrNSSF

  MrNSSF Senior Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Typical of Mkulo

  always shifting the goal posts

  maybe angekuwa honest

  kwanza kwa kuonyesha kuwa ana FAKE DEGREE anadiriki kuongopa kuwa alikuwa NSSF wakati ukweli ni kuwa alikuwa NPF

  na pia mbona hataki kutueleza kuwa performance yake ilikuwa vipi mpaka anondoka?
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  habari za uhakika kutoka katika huo mkutano zinasema kuwa wakurugenzi wastaafu wa PPF walipewa zawadi za laptop kama ishara ya kuenzi utumishi wao wa nyuma. pia mkulo akipewa hiyo zawadi ya laptop japo hakuwahi kuwa mkurugenzi wa PPF. mkurugenzi mkuu wa PPF bw. erio alifafanua kuwa kwa kuwa mkulo alikuwa NPF basi huenda mkurugenzi wa PPF kabla yake alikuwa akienda kudesa kwake baadhi ya mambo yaliyochangia kuiboresha PPF na hivyo na mkulo alichangia ufanisi wa PPF kiaina, kwa hiyo ana-deserve zawadi ya wakurugenzi wastaafu wa PPF!
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mamba hawezi kusema Kenge ana manyoya....atasema ana MAGAMBA
   
 14. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  I think mkulo kama wengi wanavyosema kuwa hata shule yake inautata mkubwa kwani hata kwenye individual/personal file records hakuna vyeti hata kimoja na hata ukienda kwenye website bunge pia records zake hazionyeshi kuwa huyu jamaa amesoma chuo kikuu gani hapa duniani. Ndiyo maana hata erio anamchomekea madudu anajua fika huyu anaupeo mdogo sana wa kuchanganua mambo. GES na gratuity kwa mtu ambaye yuko kwenye contract unasema siyo double payments then najua hata CPA au any professional accountancy principal hana huyu jamaa sasa anakuwaje waziri wa fedha iwapo a b c ya fedha inampa shida na ndio maana mtu kama mMARI, KASHIMBA hawa wamesomea fedha na wazo cpa sijui kama wanazitumia ipasavyo au ndo bora liende wachukue pesa na kuweka kipindoni kwani likibumbuluka basi kitakuwa kifo cha wengi. Sasa huwa wanamshauri nini erio bila kujua miiko ya fedha kuwa double payments ni dhambi kubwa na huyu kashimba anaimba mpaka kwenye kwaya na mkewe na video zinamuonyesha na huku analibia shirika sasa dini uache endelea na ushambenga na udaku na uendele na uwizi. Mmari naye ni kasheshe tu kwani huwa anawakalipia wafanyakazi kama watoto wake kuwazaa mfano Msoffe, Gambamala hawa jamaa wanakaripiwa kama watoto wadogo wakati kiumri hawa jamaa ni wakubwa kwake.
   
 15. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkulo kadanganywa na Erio.

  Kosa wanalolifanya, BODI, EXTERNAL AUDITORS, CAG na serikali ni kuwasikiliza wezi wa group endowment benefit. Erio kaiba, mmari, Hosea kashimba na Mganga wameiba na ni hawa wanaotoa maelezo juu ya usahihi wa malipo.

  Kama kweli serikali inataka ukweli bila kuingiza siasa na umjomba na kwa kujali maslahi ya taifa, wachunguze wamtumie huyo alikuwa Mhasibu Mkuu wa PPF mwaka 2008 ambaye wamemtimulia Mbeya maana ana ukweli wote na Erio na genge lake la majambazi wanamuogopa mno.

  Kwanza inabidi apewe ulinzi, maana wanaweza kumdhuru kupoteza ushahidi. Kama walimtumia watu watatu kwenda Mbeya walioondoka DSM saa 2.00 usiku wakabeba kompyuta yake na kutoroka nayo bila kumshirikisha maana walimtaimu akiwa nje ya ofisi kikazi.


   
 16. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkulo anatakiwa kujiuzulu kwa sababu:
  1. Kasema uongo Bungeni
  2.Alipokea rushwa ya Laptop toka kwa Erio

  3. Kuna dada pale PPF ambaye ni nyumba yake ndogo. Alilazimisha apewe Umeneja wakati hakuwa ameshinda interview. Jina tunalihifadhi kwa sasa. Alikuwa Meneja wa kanda sasa kahamisiwa HQ.

  4. Kilosa wamesema sio raia ndio maana hana uchungu na PPF

  5. Anaruhusu kuvunjwa kwa sheria za utumishi. Mwaka jana, Waziri wa utumishi alipiga marufuku wafanyakazi wa mikataba wanaolipwa gratuity kulipiwa pension na group endowment.

  6 Ameingilia uchunguzi wa CAG kabla ya kutoa majibu


   
 17. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi CAG hakuliona mpaka aambiwe na kamati? Shame!!!
   
 18. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu JK ndio kiongozi wa mafisi wote ndio maana anaona sawa tu. Huwezi kuwa na zizi la mafisi wewe usiwe fisi,yeye ndio fisi mkuu!!!
   
 19. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Aendelee kumtetea Erio Wiliam Mkapa akiwa Kilosa huko. PCCB wamfuatilie maana alikuwa anahongeka kwa vijisenti tu. Erio inasemekana alimpa Tshs 300,000,000 za kampeni ya ubunge Kilosa ili aendelee kumsikiliza. Alihongwa laptop na huyo Erio kwenye Members conference.

  Baada ya Mkulo, wakurugenzi waliomtia matatani nao MANKANYANGA!!!!, Erio kama Ekerege vile lazima kinuke mwezi huu/
   
 20. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  unefika wakati kubaini mali za mafisadi ambazo hawakuzipata kihalali na kuzitaifisha kisha kuwasweka mahakamani
   
Loading...