SABODO: CCM hawana shukrani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SABODO: CCM hawana shukrani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamuzu, May 6, 2012.

 1. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Jioni hii nimefungua ITV na kuangalia kipindi cha matukio kama sikosei, Slaa alikuwa anamsifia sana Sabodo kwa ujasiri wake wa kutoa misaada kwa CDM bila kuhofia CCM wala TRA kwa kuwa anafanya biashara halali.

  Ilipofika zamu ya sabodo kuwasalimu wajumbe wa Mkutano huo alisema alichotoa Cdm ni asilimia moja tu ya alichotoa ccm lakini ccm hawana shukurani hata kidogo na wala hawakumpa heshima ambayo Chadema wanampa.

  Anasema pia kuwa amepumzika kufanya biashara amewaachia watoto wake. AMEAHIDI kujenga ofisi mpya yenye hadhi ya Chadema.


  Maoni yangu: CCM imechokwa na wenye akili.
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  hizi ni hadaa za Sabodo.kama anaona ccm haimjali kwa nini asjiunge chadema?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  CCM ni majambazi 2 hamna ki2.

  Shardcole@Tabora1.
   
 4. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Kwani SABODO yuku wapi kwa sasa unafikiri kuwa CDM mpaka aweje?
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  unajua kwamba Sabodo ni mwanaccm hai?


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ameongeza pia kuwa mwalimu alimpa nafasi ya kuwa waziri akakataa na kumwambia kuwa yeye ni mfanyabiashara.
   
 7. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mbowe ndiyo alikuwa anatafsiri hotuba fupi ya mzee Sabodo kwa kuwa alikuwa anachanganya na kingereza mara kwa mara, ila mzee anajiamini sana. CDM sasa wajipange kuhamia kwenye mjengo wa maana kama makao makuu ya chama.

  Peoplessssssssssssssssssssss?
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ukimsaidia jirani yako chumvi unahamia kwake?
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  sio lazima ahamie chadema.kama ccm haimfai basi arudishe kadi na akae bila chama.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Neno kuntu hili kichomiz.
  Utaifa kwanza, aandike kwenye will kabisa asije akavuta before utekelezaji. Ule mradi wake wa kujenga parking dar sijui umefikia wapi?
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Kwani umeenda kumuuliza akakwambia bado ni mwanachama wa CCM?
   
 12. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  wewe umeenda kumuuliza akakwambia yeye sio mwanachama wa ccm?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 13. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hadaa wapiiii? Kuna wana sisiem wengi wabunge kwa mawaziri wanataka kuingia chadema sema baadhi wana hofu kwa sababu wameifanya siasa ka ma ndo kazi ya maisha. Na baadhi wanahofu ya kufuatiliwa tiliwa kimizengwe ama kuuawa! Sasa wanasoma alama za naykati
   
 14. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  So logically Sabodo ni Mwizi.. . Mnh!
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ccm inabidi wawe waangalifu wasipoteze those major donors maana wakiwakimbia ujue ccm inafilisika...
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  kuhusu kuvuta hiyo ni mipango ya sir GOD,harafu kingine huyo mzee ameonyesha nia ya dhati ya kukisaidia chama,kwani hii si mara ya kwanza ameshaonyesha imani yake,na kuhusu parking siwezi jua maana hii nchi ina mambo mengi.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo umejibu nini?
   
 18. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  ndio ujumbe aliotaka kutupa bwana shardcole


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 19. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  siku zote kinachojibiwa ni swali.....au ?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  lugha ya sms
   
Loading...