Zitto,serukamba na filikunjombe live Channel 10! Generali on monday is back | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto,serukamba na filikunjombe live Channel 10! Generali on monday is back

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ZALEOLEO, May 7, 2012.

 1. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani tazameni channel ten kipindi cha generali on monday kimerudi upya na waalikwa ni hao kama nilivowataja
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh nitakosa mambo. Channel ten imejiondoa kwenye king'amuzi changu sijui ndiyo mambo ya digitali hayo au vipi.
   
 3. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma niko makini naangalia mambo makini ya uzalendo.
   
 4. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wanaongelea nini kaka wengine tupo mbali na tv.
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia channel ten wapo
  Zitto
  Serukamba
  Filikunjombe
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  ZALEOLEO shukrani na endelea kutujuza yanayojiri!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeyote anayetazama kipindi hiki atoe updates, tafadhari.
   
 8. fige

  fige JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaanza serukamba anasema vikao vya ndani ya chama kuwajibishana ni muhimu sana.
   
 9. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupe dondoo, japo za utangulizi mkuu.
   
 10. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  filikunjombe bado hajaridhishwa na ubadilishwaji wa mawaziri toka wizara moja kwenda nyingine
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Tunaomba mlio karibu na tv mtujuze mjadala unahusu nini na anayeendesha kipini ni jenerali au ni nani? Sisi tunafuatilia hapahapa.
   
 12. fige

  fige JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaongelea kuwajibishana hasa hiki kilichopelekea kuundwa upya baraza la mawaziri
   
 13. a

  artorius JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Filikunjombe anasema waliopewa zamana wanakimbilia kumfurahisha rais badala ya kutumikia wananchi
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Filikunjombe:
  wabunge wa ccm ya sasa siyo kama ya zamani iliyokuwa inawatumikia wananchi.
  CCM ya sasa inafanya kazi ya kumfurahisha rais badala ya kuwatumikia wananchi
   
 15. fige

  fige JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fili anasema aliapa kuilinda katiba ya Nchi na si ya chama.
   
 16. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanaongelea kuhusu yaliyojiri bunge lilopita na kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na kauli ya zitto kutokuwa na imani na waziri mkuu, fulikunjombe anasema hoja bado ipo.
   
 17. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  zitto : wabunge wa ccm waliona ishu ya kutokuwa na imani inasemwa sana na wapinzani wakaamua kuichukua na kuingolea kichama. Na kumbe wana CCM wakiwa na jambo ambalo linawauma ila lina madhara katika chama chao wanawapenyezea wapinzani ili waliseme bungeni
   
 18. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pengine mtindo wao huu utatusaidia sisi wapigakura kufanya maamuzi sahihi 2015! maana wote sasa tumeona aina ya ubunge ndani ya magamba!!!.
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Zitto:
  baadhi ya wabunge wa ccm walishtuka baada ya kuona kila hoja ya msingi kwa maslahi ya wananchi inatolewa na upinzani.
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Asubuhi nimesikia yule mbunge wa Mbeya aliyeiba taulo hotelini Arusha nae hakubaliani na kitendo cha jk kuwaacha wao na kuteua wabunge wapya saa 7, saa 11 akawatangaza kuwa mawaziri!
   
Loading...