Majumuisho mkutano wa nmc arusha 05/05 vua gamba vaa gwanda ulioongozwa na kamanda mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majumuisho mkutano wa nmc arusha 05/05 vua gamba vaa gwanda ulioongozwa na kamanda mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simon james, May 5, 2012.

 1. s

  simon james JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wakimila walianza kwa kumsimika Rasmi Ole Milya kuwa mkombozi maeneo ya Umasaini na baada ya Kiapo alikabidhiwa Kirungu na kutakiwa asiwe Kinyonga kwani akikiuka makubwa yatampata. Baada ya hapo zoezi la kukabidhi kadi lilianza ambapo mabalozi wa ccm, wenyeviti wa vitongoji, madiwani na wanachama wengine wa CCM zaidi ya elfu walitupa kadi zao kwenye Dustbeen maalum na kukabidhiwa kadi za Chadema. OLEMILYA alihutubia mkutana na kuwataka wa tz wawapuuze wana CCM wanao muita yeye Gamba huku akisema wanachosubiri ndani ya CCM nikupewa nafasi za uongozi kama shukrani. Aidha aliapa kuzunguka maeneo yote umasaini na kuhakikisha anavuna wamasai wote na mwisho aliapa kuwafanyia kitu kibaya wana CCM wanao mchafua Kamanda mbowe amewatuliza wananchi waliokuwa wanashaka na Olemilya na amesema kuwa CDM ni Chama makini kwahiyo kitamuadilisha Ole milya na wote wanaovua magamba na kuhamia CDM. Mbowe amesema kuwa hata baadhi ya wabunge wa CDM walihamia toka CUF, TLP, CCM lakin waliweza kuwafunza, alitoa mfano wa Wenje kuwa alitoka CCM. Kuhusu Usukaj wa Baraza la Mawazir Kamanda Mbowe amesema kuwa J.k amevunja katiba na kulidharau bunge baada ya kuteua wabunge na muda mchache kuwapa uwaziri na kuwataka waanze kazi bila kula kiapo Cha ubunge. MBOWE ameahidi kuwa atapanga upya baraza lake ili wakiingia bungeni wapinge uvunjaji huo wa katiba aliofanya J.K. Katika hatua nyingine kamanda wa anga alitoa taarifa kuwa wapo wabunge wa CCM 70 Walio mfuata kufanya booking ya nafasi za uongozi na hata katika baraza jipya linalo apishwa juma tatu Takribani mawaziri 9 wamemfuata wakitaka kufanya booking. Mwisho kamanda mbowe alifanya harambee na akakusanya zaid ya mil 1 ambayo itatumika kuendeleza Mv4change Umasaini. Kwa upande wa Nassari aliwataka wamachinga kuendelea na biashara zao bila kuogopa vitisho vya halmashauri kuwataka jumatatu waondoke mitaani. Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.
   
 2. s

  simon james JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4Change inahamia umasaini Rasmi baada ya michango iliyotolewa ku support
   
 3. s

  simon james JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana kwa hakika mkutano waleo ulijaza sijawah kuona
   
 4. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kanda ya ziwa tunawahitaji.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Vua gamba vaa GWANDA! Nimeipenda hii
   
 6. s

  simon james JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4change ikiongozwa na Lema na Olemilya inahamia Longido, ngorongoro, monduli ng maeneo mengine yote umasaini. Tuwaombee jamani. Kwa upande wa aliyekuwa mjumbe wa ccm taifa toka mkoa wa Arusha aliomba ridhaa toka kwa mbowe kuzunguka kata zote 6 ambazo zipo wazi Arusha ili afichue maovu ya ccm. Na alikubaliwa kufanyahivyo chini ya uongozi makini wa CDM. Kwa kwel mkutano ulikuwa noma
   
 7. s

  simon james JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazma m4change ilete ushindi mkubwa2015
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Hiki chama sasa kimeshaonesha ishara zote za kukamata dola 2015.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ally Bananga ni mtaji sana ndani ya CDM.
  Chadema tumelamba dume.
  Mshkaji kwa kuzoza mbovu ni noma.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani karne hii watanzania tumeacha mpaka wamasai ndiyo wanatuletea mabadiliko .... siamini .... wapogolo na walugulu wao maneno meeengi .... hongera sana wakombozi wetu wapya wa nchi hii "MASAI FOR CHANGE"

  bravo morani, laibon, laigwanan, mama yeyoo na ndito wote
   
 11. s

  simon james JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilifurah sana nilipo waona wamasai wakiwa wameshikilia mabango wakiimba peoples power kwa hakika sasa matunda ya ukomboz yameonekana ndani ya m4change.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...JK anakazi karne hii,dogo janja anampiga biti.Kweli nchi haitawaliki.VIVA CHADEMA.
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Tushakizoea hiki chama cha kikanda yani badala waje moro, tabora wenyewe kila siku kwao 2! Alafu kesi ya lema wote hao wakina Mbowe waliishikia bango na kutoa matamko makali tena ya vitisho kwani lema ni mkanda mwenzao but kesi ya mpendazoe wamekaa kimya hata mbowe hajasikika akisema kitu bkoz mpendazoe sio mkanda mwenzao.
  Kila la kheri chadema ya wabuguzi but zito kabwe alishawashtukia zamani ndio maana hawampendi.
   
 14. s

  simon james JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamasai kina mama walipendezesha zaid mkutano wa leo jiandaeni kuwaona magazetini kesho
   
 15. j

  jigoku JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Umaisaini =Lowasa + Ole Sendeka +Ole Medeye + ole nangoro
  Ukishafahamu hilo utajua ni kwanini M4C imelekezwa Umasaini kwa kumshirikisha Ole Milya akiongozwa na kama Lema na wengineo
   
 16. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  utachukia sana gwanda make 2015 ukitoka jule gwanda, ukila, ukilala, msikitini gwanda aaa atimae utakunywa chupa kaburini kwako utakutana na michwa wamevaa makwanda basi labda huko ukienda kwa shetani utmkuta anagamba ndo utapata furaha kidogo huko jehanam,.
   
 17. s

  simon james JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa mvumilivu hawa viongoz watazunguka kote. Chamsingi jitahidini kujenga msingi alaf muwaite ninaimani watakuja. Kuhusu ukanda kwa hotuba aliyotoa mbowe leo nimeamini CDM Si ya ukanda kama mnavyo dai kwan wametangaza plan ya kwenda Lind, mtwara, Ruvuma itakayo ongozwa na heche. Isitoshe leo Halima mdee na Tindulisu walikuwa morogoro m4change
   
 18. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mimi nimefurahishwa leo na Muhindi alye amua kuvaa gwanda na kuichana CCM laivu, hawa wa Asia wameanza kusoma alama za nyakati,
   
 19. s

  simon james JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh Godbless Lema aliwa omba wana Arusha na Wa Tz wote kuombea rufaa yake kwani anaamini atatinga mjengoni. LAKINI PIA WAKAZ WA arusha walitakiwa kuwa makini kwani kama rufaa ya Lema itatupiliwa mbali CCM Wanao mpango wa kumsimamisha Christopher Mwakasege kugombea ubunge Arusha mjini
   
 20. m

  massai JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hata huku rusumo , mpakani mwa tanzania na rwanda M4C inasubiriwa sana,watu wengi tu wanaikubali chadema kinoma
   
Loading...