Wapi Dr Kitla Mkumbo wa UDASA na midahalo ya katiba mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Dr Kitla Mkumbo wa UDASA na midahalo ya katiba mpya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STK ONE, May 5, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani nijuzeni mwenzenu. Nimekuwa nikisubiri midahalo ya katiba mpya ambayo iliahidiwa na wana UDASA chini ya Dr. Kitila kuwa itakuwa nchi nzima na tena itakuwa endelevu. Nimesubiri mtu aanzishe uzi huu lakin kimya. Vipi, what happened? Au walikatazwa na serikali? Au sheria ya mabadiliko ya katiba imewabana wasioe elimu kuhusu katiba. Plz, mwenye majibu anipe....!!!!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Programme bado ziko jikoni, vuta subira zinakaribia kuiva.
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mayo Kitila, wilimpiiiiiii?
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kitila Mkumbo Mbunge wa Iramba Magharibi 2015. Ngoja nimpigie simu nimuulize alafu ntawapa jibu!

  TUMBIRI wa JF
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka ndiyo kimya kimya ki hivyo...kimya kimekuwa kirefu sana.Siyo kwamba alipigwa beat na Mkuu wa kaya?
   
 6. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa Chama gani MKUU?
   
 7. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 8. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kwa kawaida ,hawa wanataaluma wa UDASA huwa hawakurupuki..nadhani wanajiuliza kama sheria iliyopitishwa na bunge,pamoja na mabadiliko yake ilizingatia maoni yao waliyapata kutua katika mihadhara yao.
   
 9. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  kwa kuwa mwnyewe yupo hapa atatupatia majibu
   
 10. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Fedha ya kuendesha midahalo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...