Mwita Mwikabe Waitara: Mwanasiasa zao la UVCCM aliyemwacha shetani na mambo yake yote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwita Mwikabe Waitara: Mwanasiasa zao la UVCCM aliyemwacha shetani na mambo yake yote!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Apr 24, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nilikutana nae Arumeru nikamuuliza swali 'vp Tarime 2015 maana mpo mafahali wawili yeye na Suguta John Heche,nani ni nani ktk ubunge via cdm? Akanijibu 'DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA ITACHUKUA MKONDO WAKE'.Najitahidi kukupa maelezo machache juu ya Waitara then kina Millya wajifunze kitu hapa,Waitara akanieleza kuwa 2015 yeye ata contest ktk kura ya maoni ila kama akishindwa atakuwa tayari kumpigia debe aliyepitishwa.AS IF kama angeacha mguu mmoja magamba tayari ktk uchaguzi mdogo wa Tarime enzi ya Mwera angekata tamaa na angerudi gambani..Na pia kuchakachuliwa mwaka juzi kungemdiscourage bt amebaki kuwa mpiganaji ambaye hakumbuki alipotoka...Hongera bro kwa kujitolea kuwa mpiganaji kuungana na kina Kamanda Lema..usikatishwe tamaa na akina_ TUNTEMEKE niliyeckia akikuponda humu last month..TIME WILL TEL..,M4C
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Umeingia huku jana na kuibuka na nyuzi za aina hii.....tuache kushusha heshima ya JF.Huwa hatujadili watu
   
 3. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwani ilitakiwa asubiri kwa muda gani ili aje na habari kama hii? je ni wewe unae-set rules and regulations za jf?
   
 4. DONNYANGAKA

  DONNYANGAKA JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  nakubali unachoongea, na ninamkubali huyo jamaa ingawa si kama ninavyomkubali heche but pamoja na ukamanda wake alipoteza jimbo kizembe!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  una chuki binafsi...we ni gamba that wy
   
 6. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ameshushaje heshima ya JF acha wivu kijana ulitaka uandikwe wewe.
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,130
  Trophy Points: 280
  Kama hatujadili watu mbona wewe umemjadili, acha hizo hata kama kajiunga jana ana uhuru wote wa kuleta na kuchangia hoja kama ulionao wewe. Mwita ni level nyingine na anaonekana atakuja kuwa kiongozi mzuri sana ndani ya Chadema sio mapepe baada ya kushindwa uchaguzi wanaanza maneno au kuhama chama.
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ameshusha hadhi. Inaonekana Emeka hata hajui kuwa Waitara alikuwa CCM wakati Mwera anagombea kwa tiketi ya CDM, na aliondoka baada ya kuhitilafiana na wenzake kwenye kampeni za uchaguzi ule. Labda kama sijaelewa bandiko lake.
   
 9. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Namheshimu sana mwita ,jembe la uhakika mwalim wa Chem na maths. Kamtoe yule pimbi kule Tarime asiyejua hata kuongea.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,130
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo ndiyo hadhi gani ya JF iliyoshuka au TUNTEMEKE group mnataka kuja kwa gia nyingine maana mnampiga vita sana Waitara.
   
 11. dallazz

  dallazz Senior Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  big uppppppppppppppppppwikabe
   
 12. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwita ni kamanda mpambanaji. Tumekuwa wote katika harakati za kuingia DARUSO na kuunda serikali ya wanafunzi iliyojipatia heshima kubwa zaidi.

  Check list ya wapiganaji waliounda DARUSO 2005/6

  Mwita Mwikwabe Raisi
  Mrema John - Waziri Mkuu
  Aurelia Kimaro - Vice President
  Samwel - Fedha
  Cosmas Gabriel - Usafiri
  Engineer Mseti
  Bahati Tweve - Accomodation
  Marehemu spika wetu mungu ailaze pema peponi

  Hiyo list ndogo tu na wengine wengi waliounda DARUSO chini ya uimara wa kamanda Mwita Mwikwabe.
   
 13. K

  Kasungura Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2007
  Messages: 72
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waitara kweli kaonyesa na kukubali demokrasia ichukue mkondo wake.
  alipo chaguliwa na cdm kugombea kiti cha ubunge ilitakiwa wenzie wam support but haikuwa hivyo.
  Kilichotokea tarime ni siasa za makundi ndani ya cdm ndiyo iliyosababisha wapoteze jimbo.
  Henche ninamkubali sana tena sana, but ktk uchaguzi wa Tarime hakuitendea chama chake haki. kama
  angeamua kuvunja kundi lake na kumsapoti Maitara jimbo lisingeenda ccm. Ktk uchaguzi ule CCm walikuwa wanasali usiku na mchana CDM waendelee kufarakani ili wapate upenyo na ndo ilivyotokea.
  - Viongozi wetu wajifunze na kukubali demokrasia kuchukua mkondo wake.
   
 14. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zalendo ni muhimu sana kuliko chochote
   
 15. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ben bwana. Ulitaka usifiwe wewe? Pole sana, toka ushindwe BAVICHA umekuwa na hasira sana. Siasa siyo lele mama kaka. Nenda kajaribu Mnanda.
   
 16. M

  Murrah Senior Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Emeka Napenda kukueleza kuwa kwa bahati mbaya siasa za Tarime hazipo hivyo unavyodhani Mwita alishindwa Tarime kwa sababu alishindwa kuhamasisha vijana na wanawake. Pili alitumia sera za Lusinde (matusi) ndio ilikuwa down fall yake. Hechei hana following nje ya Sirari au Tarafa ya inchugu, ili ushinde Tarime unahitaji ingwe ikukubali kwa bahati mbaya hakubaliki ingwe wala inchage akishinda kura za maoni itakuwa ushindi kwa CCM. Tarime bado ni ngumu ila ni jimbo rahisi kama CDM wataacha personal interest and focus on country Mwita achukue Ukonga atakubalika.
   
 17. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ben, we ni mfa maji asieacha kutapatapa ulishindwa BAVICHA kwa ajili ya vijitabia saidianeni kujenga CDM na si malumbano ya kuibomoa.
   
 18. s

  sambamba Senior Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C kama vp fiken had jimbo la NGORONGORO mkamalize kazi wananch wamechoshwa na unyanyasaji na utumwa na kuuzwa wao na ardhi yao na kuchomewa nyumba zao mbunge wao yupo2 hatuon hatua zozote zlzochuliwa tangu watu walipo chomewa nyumba na wengne wakidaiwa et co watanzania ndan ya nchi yao.wananch wamechoka.
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Murrah, umejitahidi kujenga hoja yako lakini naona bado hukuiweka vizuri sana.
  Pamoja na mambo mengine yaliyosababisha Waitara kushindwa kulichukua jimbo la Tarime ni Mwera kujiengua Chadema na kujiunga na cuf. Kuna wafuasi wengi tu aliondoka nao ambao ilikuwa ni base ya Chadema. Kwamba Waitara alishindwa kuwaunganisha vijana na akina mama si kweli hata kidogo mkuu, kushindwa kwake ni zaidi ya hapo.

  Labda nikukumbushe kwamba Nyambari ni wa ukoo wa wairegi, na Waitara nae ni wa ukoo wa wairegi, kwahiyo wote wanatokea katika tarafa ya ingwe, ambako ndiko wanapatikana wairegi. Tarafa ya Inchage inakaliwa na ukoo wa 'watimbaru" na " wanyabasi" ambao kwa pamoja ndio wanaitwa inchage.

  Kwahiyo ili mtu ajihakikishie ushindi jimbo la Tarime analazimika kuwa na uungwaji mkono tarafa za ingwe na inchage ambazo ndizo zina asilimia kubwa ya wapiga kura. Hata hivyo ni muhimu ukazingatia kwamba kwa wakati huu hasa uchaguzi mkuu uliopita wapiga kura hawachagui kiongozi kwa kuangalia nasaba yake(ukoo wake), bali uwezo wake binafsi pamoja na matarajio ya wananchi wenyewe.

  Ushindi wa nyambari ulichangiwa pamoja na mambo mengine mgawanyiko/makundi miongoni mwa wanachadema kufuatia zoezi la kura za maoni kuonekana halikuendeshwa kwa haki na tuhuma za rushwa kutajwa kugubika zoezi hilo. Lakini pia ccm walifanya kazi yao ya enzi kuchakachua matokeo ili kuhakikisha kwamba wanalirudisha mikononi mwao jimbo la Tarime.
   
 20. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Katika hili tunahitaji kuwa wabunifu sana, na kufanya upembuzi wa hali ya juu. Ni kweli mpaka sasa Ukonga hakuna mpambanaji mahili wa kulichukua jimbo hilo, na kama Mwita anakubalika huko ni bora akaanza mchakato mapema wa kuwin mass. Kule Tarime atafutwe mpambanaji anayekubalika kwa jamii kubwa ya watu. Majimbo yote tunayahitaji sana.
   
Loading...