Baraza jipya la mawaziri Sendeka kuwa waziri maliasili na utalii

Status
Not open for further replies.

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Habari za ndani kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mbunge wa simanjiro Mh Ole Sendeka atakuwa waziri wa maliasili na utali chanzo hicho kinasema pia agrey mwandi atapewa uwaziri kamili wa tamisemi.
 
Kila siku 'habari za ndani' or 'habari za uakika' or 'habari kutoka kwa mtu wa ndani kabisa'.
Jamani, tumechoka na hizi 'habari'...
 
Habari za ndani kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mbunge wa simanjiro Mh Ole Sendeka atakuwa waziri wa maliasili na utali chanzo hicho kinasema pia agrey mwandi atapewa uwaziri kamili wa tamisemi.


kazi kweli kweli yani JK ameona Sendeka na uvuvuzela wake ataweza hiyo kazi????? he does not have the qualities of a true leader with integrity
 
LENGIO hakuna njia nyingine ya kutafuta nini umma wa watanzania unafikiria zaidi ya kupost habari ya uongo na kuangalia majibu ya watu?
 
Last edited by a moderator:
yawezekana ila nae mnafiki pia ana njaa kali rahisi kupewa rushwa!kama pinda hatapigwa chini tusitegemee mabadiliko
 
yule bogus mpenda sifa hawezi lolote,..mimi huwa sipendi hata kumsikiliza kwasababu anakera hata kumtazama.
 
Jk asingeweza kumteua huyu mbunge wa Simanjiro.
Hana jipya..next time muwe makini na tetesi zenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom