Ni kweli Mawaziri waliotuhumiwa kufisadi Nchi ni Vijana???????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Mawaziri waliotuhumiwa kufisadi Nchi ni Vijana????????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ufipa-Kinondoni, May 9, 2012.

 1. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Jana asubuhi nikiwa katika Chuo fulani hapa Tz kuna Prof. mmoja alituuliza vijana mnataka nchi lakini inaonyesha hamuwezi kuongoza. Akatolea mfano wa mawaziri wa JK waliotuhumiwa kufisadi wizara zao mabilioni ya sh. iliyofanya kuondolewa katika nafasi zao walikuwa vijana tu.

  Je ni kweli mawaziri hawa ni vijana na vijana hatunauwezo wa uongozi?
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hilo hata mimi nilishafikiria...kikwete alivyochukua nchi tulifurahi sana tukasema tumepata Rais kijana...akateua baraza la mawaziri akaweka vijana tukasema asante Mungu...kuongozwa na wazee hakuna tena sasa nchi itachangamka tutakua na mwongozo mzuri na vijana wana new ideas, fresh blood na wana mambo ya kisasa yanayoendana na karne hii....eeeehhhhh.....i was dead wrong... vijana wame turn out kua wezi kuliko hata wazee wetu...vijana wanaiba mabillion ya pesa..wanatembea na silaha za hatari mifukoni mwao mh...sina trust tena na vijana wenzangu kama zamani....sisi vijana tuna TAMAA sana...we want to be rich like yesterday...wazee wetu hata kama waliiba bt sio kwa vurugu kama vijana wafanyavyo sasa...labda kwa kua wazee wetu walikuzwa enzi za nyerere so attitude yao ni tofauti na vijana waliokuzwa enzi za mwinyi..

  nina uhakika wazee wetu sasa hivi wanatucheka...wanaona vijana hawawezi kushika nchi au kuchukua madaraka...wazee wetu enzi hizo utakuta anakua waziri kwa miaka 10..vijana leo hii wanakua mawaziri hata miaka 2 hawamalizi washafukuzwa...
   
 3. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Hili mkuu ni kweli katika muda niliokuwa mtumishi wa serikali nimeona mawazo ya watumishi vijana katika sekta mbalimbali za serikali. Lakini mimi nilijua kinachosababisha ni kuporomoka kwa maadili kati ya wazee katika maofisi. Hii imetokea vijana kutokuwa na sehemu za kujifunza maadili mema.

  Wazee nao wameona Vijana wanakuja juu kimaisha, wanaiba kwa kutumia mgongo ya vijana. Na hii ndo tatizo kuu.
   
Loading...