Arusha: Nassari, Heche na Bananga wahojiwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: Nassari, Heche na Bananga wahojiwa na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, May 6, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Taarifa iliyovuja toka Polisi Tanzania inaeleza kuwa viongozi hao walili wa CHADEMA, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Ndg John Heche, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na aliekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Vijana, Ndg Ally Bananga aliehamia CHADEMA rasmi jana wameitwa kuhojiwa na Polisi katika maswala yanayohusiana na Mkutano wa chama hicho jana Katika viwanja vya NMC Jijini Arusha.

  Hata hivyo mto ataarifa hajaweka wazi hasa ni mahojiano kwa ishu ipi specifically! Mtoa taarifa anahisi huenda ikawa ni ufafanuzi kuhusiana na kauli mbalimbali zilizozungumzwa na viongozi hao katika mkutano wa jan katika hotuba zao

  Tutajuzana kinachondelea zaidi...
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hili lipo wazi ya kwamba hawa polisisisiem wa hapa A town hawaachi kufanya hivyo.

  Ila nawahakiki ya kwmb hawa hawana sumu hakika.
  Wanajaribu kufurahisha mioyo yao iliyojaa dhambi ya damu ya watu wasio na hati!

  Kama utapata mapya zaidi usisite kutujuza ila nina imani hawana sumu tena hawa.
   
 3. s

  slufay JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dola inakosea kuwahoji , maana wanapandisha chati buree,, ? wangeachwa kama mzee wa Kiraracha .... hapo dola inachemsha hapo tu?,,,, wanajenga umaarufu wa burreee tu.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hao polisi wangekuwa kila mara wanawaita wezi na mafisadi kuwahoji na kuwachukulia hatua zamani ningerudisha kadi yangu ya CDM. hawa wezi na mafisadi wanaoitafuna nchi hii ndiyo wanataka kutupeleka kwenye vita ya sisi wenyewe kwa wenyewe.

  Lakini badala yake ni polisi na 'umahiri' wao wa kutafsiri masuala ya siasa, hasa kauli za viongozi wa upinzani, sijui wamepata mafunzo wapi ya kutafsiri kauli hizo. Pambaff kabisa!!!!
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbona wale walikwapua mahela ya serikali hawajawaita?
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh! -- Ile nyomi ya msimamo pale NMC iliwafanya mabwana zao kuweweseka kwani chama cha magamba wafute kabisa wazo la kukusanyisha umati kama ule -- popote pale hapa Tanzania!

  Au Tusema yule dogo Nchimbi kaanza na gia kubwa? Atakwama tu asipoangalia!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hivi Lusinde na Benjamin Mkapa wataitwa kuhojiwa lini kwa kauli zao mbovu za Matusi na kujifanya wanazijuwa Familia za watu wengine kule Arumeru?
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na ndiyo hao hasa wanawatia Watz ufukara na kuhatarisha amani ya nchi hii.
   
 9. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Safari hii GL hajaitwa kuhojiwa?
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Andengenye anataka kuondoka Arusha akiwa amefanya booking mapema katika serikali ya chadema baada ya kusimamia kwa ukamilifu mauaji ya wananchi wasio na hatia January 5, 2011.

  Hata kama ccm watasaidiwa na policcm kukabiliana na Chadema ukweli ni kwamba hawataweza kamwe kushinda nguvu ya umma. Bila shaka jana nyomi iliyomwagika tahrir square ya Arusha ilikuwa salamu tosha kwa ccm na vibaraka wake wote.
   
 11. i

  iseesa JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu dogo karudishwa kwenye "kazi" ya baba yake. Mnategemea nini? Mnajua kuwa baba yake alikuwa Polisi na amelelewa kipolisi?
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hii habari kama ni tetesi ijulikane ni tetesi.

  Polisi nao wamechoka kutumiwa kama kinga na ccm. Huenda wamewaita ili polisi wajiunge na CHADEMA. Yote yanawezekana
   
 13. p

  pstar01884 Senior Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Policeccm Wehu tu. Wanawalinda wezi na mafisadi huku wakiwakamata watetezi wa watz na kuwabambika kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu. Pambaaf kabisa.
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  "Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya umma duniani"
   
 15. s

  sithole JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wanafanyia kazi mafunzo waliopewa hivi karibuni.
   
 16. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Taarifa ni kwamba nassari atafunguliwa kesi ya uhaini kwa kauli yake kuwa yeye ni rais wa jamhuri ya Meru na kwamba atamzuia kikwete kuingia arusha iwapo serikali itaendelea na mpango wake wa kuwahamisha wamachinga katika mji wa arusha. babanga atafunguliwa mashitaka ya kumdhalilisha mkuu wa nchi baba ritz
  Ni mimi kachero mkuu wa polisi!
   
 17. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa kuna mambo mawili. Political move na utetezi wa unga. CDM wapo kwenye political move hivyo kutamka vile ni kuongeza coverage na kupata headings, ambazo ni msingi wa publicity. Upande wa polisi wanataka kuwaonesha wanaowatumikia kuwa wanafanya kazi, hivyo kuwahoji ili kupata maelezo yao ni utaratibu wa kawaida kabisa na inatakiwa baada ya maelezo yao wafunge file. Hata USA kuna mtu anaitwa 'NUGENT' alitoa kauli ya kuwakata vichwa Obama, Clinton na majaji wa mahakama ya juu kabisa jukwaani. Secret service walimhoji na kufunga kesi kuwa he is not a threat. Nafikiri unatakiwa kuangalia vyote intent na si speech tu.

  Ila polisi nafikiri wanfanya kazi yao. Ila nitaona wanaingia kwenye siasa kama watajifanya kuyakuza mambo haya ambayo tayari yaliisha tolewa ufafanuzi na Mbowe palepale.
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Huyu na Chagonja wajiandae kukimbilia Exile 2015.Na sisi tunawavumilia mno polisi wa aina hii.Tupange mkakati ambao ni radical kabisa kuhakikisha hadi tunaingia ikulu polisi hawatumiki tena kisiasa

  Namtafuta Heche kwenye simu simpati ili ku-comfirm taarifa hizi.
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndugu yetu Adengenya, pole pole na kazi; punguza chuki dhidi ya CHADEMA kwani kuna leo na kesho.
   
 20. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,740
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  No comment at this juncture
   
Loading...