Thamani ya shilingi haipo tena kwani fedha halali sasa ni dola. Kuanzia pango, mishahara, nguo, dawa na mambo mengine.
Kila kona kuna bureau de change. Si vibaya. Ukienda kufanya kazi katika nchi za wenzetu jirani kama Botswana Unaambiwa mshahara ni Dola kadhaa ila utalipwa kwa local currency lakini hapa sivyo.
Nyumba hadi leo pango ni dola tu na serikali haisemi lolote kwa sababu wahusika ni hao hao tu. Sijui kama wenye nyumba hawa wanailipa TRA dola pia.
Sasa bila kudhibiti huu mfumo usijidanganye hata siku moja kumrahisishia mtanzania wa kawaida maisha.
Hebu liangalie hili. Punguza mzunguko wa hii dola isitumike kabisa katika transactions ili watu tupate nafuu.