Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 22, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

  Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

  Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....
   
 2. P

  PETER NYAMWERO Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :smile:SIO YEYE TU ILE KAMBI YA KUPINGA UFISADI YA WAKINA OLE SENDEKA NA LEMBELI Mbona hatuwaoni au hawa sio mafisadi
   
 3. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Anatafakari aaanze anze vipi! Manake ndege wenye mbawa sawa huruka pamoja!
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  huyu mama mnafiki tu nilimshitukia alipokomaa wakuu wa wilaya wawemo kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba.
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yuko kimya Mwanae William alishidwa Ubunge pamoja na Campaign ya hali ya Juu, Usiku na Mchana bila kulala
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ni bonge ya mtego Comrade na ndio kipimo chao maana maneno matupu hayasaidii naamini hata kama ndo lowasa angekuwa pahala pale pa uwaziri mkuu mh kilango ndo asinge uzulia kikao kabisa kwa kimbia hoja kelele tu zile ngoja na tusubiri
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Chezea kambi ya Lowassa wewe......
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anaogopa CC isije ikakata jina lake, maana anataka kugombea Uenyekiti wa UWT (Taifa)
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  neno UZALENDO kazi sana,na siku zote mungu hamfichi mnafiki.uko wapi mama,sauti yako kali ya kuchangia hoja kupinga uzalendo imekauka?au ile chai ya ngereja uliyoikataa siku ile umekunywa ya pinda?hata kama umezibwa mdomo hata sahihi je?
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Huyu mama mnafiki tu, social ladder climber and cheap popularity seeker.

  Hana lolote na mie simshangai.
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  ...Wameshatishwa hawa na kuambiwa ole wenu na fyoko fyoko zenu....Wanakumbuka sana yaliyompata Kolimba pale aliposema kwamba, "CCM imekosa mwelekeo."
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hana Mvuto tena katika tasnia ya siasa kadondokea pua Kiwira, Na mwanae wa kufikia kagonga chini EAC kuna nini hapo!
   
 13. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Huu mjadala kwa huyu mama asingeweza elimu ya kuyachambua mambo hawezi zaidi ya mayowe.
   
 14. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Naona hata Bw Ngereja hajamnunulia chai siku nyingi.
   
 15. S

  Sarya Senior Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  .......yupo kwenye harakati za kugombea nafasi mwenyekiti UWT, hivyo akionyesha makali CC itamuengua.
   
 16. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,379
  Likes Received: 10,519
  Trophy Points: 280
  ' ngoma ya kitoto haikeshi'

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 17. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hv Ole Sendeka yupo?
   
 18. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yaani bado tuu mlikuwa na imani na huyo mama? Mimi nilishamuona hovyoo nilipopata habari zake kuwa kwenye uchaguzi wa udiwani Kiwira alitumwa kuharibu akawa anagawa hela! Ukiona hivyo ujue ni mtu asiyependa haki yaani kiufupi ni mtu wa hovyoo kabisa
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,423
  Likes Received: 19,736
  Trophy Points: 280
  huyu mama kaiba pesa ya kujengea kiwanda cha Tangawizi
   
 20. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,379
  Likes Received: 10,519
  Trophy Points: 280
  sina uhakika kama alimpigia kura mwanawe willy!

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...