Vikao vya dharula vya CC, NEC-CCM Kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vikao vya dharula vya CC, NEC-CCM Kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sheshejr, May 9, 2012.

 1. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa muda sasa nimekuwa nikisoma taarifa mbali mbali zinazohusu kambi hii dhoofu kisiasa kuwa kuna vikao vinavyotarajiwa kuanza muda wowote, wakuu na wasemaji wakambi hiyo kulikon na dharula hizi?
   
Loading...