Source ya habari yangu ni mtu aliyekaribu sana na Lowassa.
Lowassa amejiwekea option tatu, moja kubaki CCM kama hawatamwekea vikwazo vya kugombea urais, pili amuunge mkono mtu wake ndani ya CCM na ikitokea mtu wake amekosa ataenda Chadema. Mazungumzo ya awali yalishafanyika na Chadema kwamba itakuwa rahisi sana kumsafisha. Hoja kubwa ni kwamba tatizo la ufisadi si la mtu binafsi bali la mfumo uliojengwa na ccm, kwamba unaweza ukawa na wana ccm wabovu wakaja chadema wakawa wasafi kwani mfumo utakaojengwa na chadema hauruhusu ufisadi. Na nadhani hiyo ndio hoja si kwamba wana chadema ni malaika, hata kidogo. Watakachofanya ni kujenga mfumo mpya na taasisis huru zenye nguvu kupambana na rushwa. Akiwa ndani ya chadema Lowassa hatakuwa kiongozi bali mtu wa kawaida ila anahitaji zaidi ulinzi azibughudhiwe maana anahofia wakiingia kina Sitta watamsumbua sana.
Sasa mkakati mkubwa wa Lowassa kwa sasa ni kuisaidia Chadema indirectly ili izidi kuimarika na kuwa tisho la kweli kwa CM. lengo ni nini? Inasemekana lengo ni kuwa CCM ikiwa imewekwa kitanzini hawatamudu kuruhusu mgawanyiko ndani ya chama hasa kuwaondoa wale wanaoonekana kama mafisadi. Itabidi waruhusu tu yule atakayeshinda kura za maoni ipite bila mizengwe ili chama kibaki kimoja. Lakini swali ni je, kama Lowassa akipata tiketi ya CCM atawarudisha vipi wale ambao tayari wameshahamia chadema na kuijenga vilivyo? Wengine watasema kirahisi kuwa ni uzushi ila kama upo karibu na viongozi wakuu wa chadema au marafiki wa Lowassa watakuambia kwa sasa Lowassa yupo karibu sana na Chadema na kuna agenda nzito ndani yake. Siku njema