CCM ina wanachama 3/4 ya wakazi wote wa Mbeya

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wakuu kweli watangazaji wengine ni kichefuchefu nimemsikia Hosea Cheyo wa Tbc anasema ccm ina wanachama robo tatu ya wakazi wote wa mkoa wa Mbeya, jamani hv huyu anaijua mbeya au anataka ukuu wa wilaya? Aya bwana na propaganda zenu 2015 mtabadilisha fani
source Tbc taifa
 
ccm inajinadi kuwa ina wanachama milioni tano nchi nzimana wakazi wa mbeya ni zaidi ya milioni moja kwa hiyo mbeya peke yake ina milioni?
mbona mimi nilikuwa mwanachama wa ccm miaka 7 ilyopita na sikuwapa kura?
 
Wakuu kweli watangazaji wengine ni kichefuchefu nimemsikia Hosea Cheyo wa Tbc anasema ccm ina wanachama robo tatu ya wakazi wote wa mkoa wa Mbeya, jamani hv huyu anaijua mbeya au anataka ukuu wa wilaya? Aya bwana na propaganda zenu 2015 mtabadilisha fani
source Tbc taifa

Huyu hata angesema CCM ina wanachama Mil 43 zaidi siyo hoja kwa sasa kwani hata bungeni wana wabunge zaidi ya Robo tatu lakini tunawaburuza tu...

Wanachama wa CCM ni Vibibi vya miaka 60 na kuendelea, watoto chini ya miaka mitano, wazee wa zaidi ya miaka 60 na wajinga na Mafisadi.

CDM ina vijana wasomi, vijana werevu wenye miaka kati ya 10 na 40, wazee wasomi na wenye pesa za halali, vijana Graduate wenye IQ za juu kama kina Tundu lisu, John Mnyika..

Bila kusahau Kijana Mmoja wa Chadema ni sawa na vijana 30 wasomi wa CCM, sasa hapo tunabishana nini?
 
Hapo penye red umetumia tathmini gani? Leo mmeanza kujibagua kumbuka wapo vijana wengi tu ambao si wasomi na hao utawaweka kwenye kundi gani?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kwa mtaji huo hakuna madc makini nchini.kumbe hujipendekeza hata kwa uongo dhahiri kama huo?shit!!!!!
 
Mkuu, uliisha wahi kujiuliza kazi za DC ni zipi? wanakimbilia huko kwa vile ni kazi amabazo hazina Job discriptions, kila mtu na mawazo yake, kazi hiyo ni rahisi kama nini.
 
siwezi kukataa esp kama anarejea watu wa jimbo la naibu waziri wenu wa elimu. people are hopeless and useless there, na kwa kweli m4c inahitajika sana huko. ujinga, umasikini na kukata tamaa kwa watu wale(kulikosababishwa na magamba) ndiyo haswa vinawapa ujasiri wa kupayuka hawa makanjanja wa tbc.
 
Milioni tano ukitoa milioni tatu ambao wameshajiunga chadema wanabaki wangapi!
 
Ndugu yang Doma

Wanachama wa umagamba wako wako katika makundi mawili

  1. kundi la kwanza ni wale wanaofaidika na mfumo uliopo. Hawa watu ni wabinafsi kupita kiasi. Wako kimaslahi zaidi na hawawajali hata ndugu zao wa damu kama mama zao, dada zao, bibi zao, baba zao n.k. katika kundi hili utawakita wakuu wa mikoa, wilaya, maziri na watu kama Nape
  2. Kundi la pili linajumuisha wale wote wote ambao ni magamba lakini hawajui kwa nini wako huko. Hawa ni wajinga na hawajitambui. Tunapaswa tukae chini tuangalie nmna ya kuwaelimisha ili wajitambue na nina uhakia wakijitambua wataukimbia umagamba

Jiulize, 3/4 ya watu wa mbeya wako katika makundi hayo?

Wakuu kweli watangazaji wengine ni kichefuchefu nimemsikia Hosea Cheyo wa Tbc anasema ccm ina wanachama robo tatu ya wakazi wote wa mkoa wa Mbeya, jamani hv huyu anaijua mbeya au anataka ukuu wa wilaya? Aya bwana na propaganda zenu 2015 mtabadilisha fani
source Tbc taifa
 
Wakuu kweli watangazaji wengine ni kichefuchefu nimemsikia Hosea Cheyo wa Tbc anasema ccm ina wanachama robo tatu ya wakazi wote wa mkoa wa Mbeya, jamani hv huyu anaijua mbeya au anataka ukuu wa wilaya? Aya bwana na propaganda zenu 2015 mtabadilisha fani
source Tbc taifa

Haya maneno ya vijiweni, it doesn't get in my mind kama mtu anaweza kujizalilisha kwa kuongea ***** kama huu.
 
Soma vizuri utaelewa umekurupuka, ameelezea vizuri sana.... Rudia kusoma tena

Back
Top Bottom