Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu naomba kujua kama chadema inataka wanachama ambao ni wanachama wa ccm pekee au yeyote asiye mwanachama wa chama chochote cha siasa anaweza kujiunga???nauliza hivyo kwa sababu kila siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
akiongea na waandishi baada ya kumalizika kikao cha NEC amesema CCM bado inapendelea mfumo wa serikali mbili uendelee kutumika katika katiba mpya ijayo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wimbi la wanaccm wanaohamia upinzani na hasa chadema limeelezwa kuwa ni mojawapo ya sababu za CCM kukubali mgombea binafsi. Wanaccm ambao watakuwa wamekichoka chama hicho watapata fursa ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wednesday, 16 May 2012 23:10 Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt (nyuma) akiwa amekwama kwenye lifti ya jengo la Wizara ya Nishati na Madini, jijini Dar es Salaam jana, alipokwenda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwalimu aliwahi kutwambia Tumeanza na tunaenda mbio....... Si ajabu wajukuu zangu wataishia kuwa manamba, watwana au vibarua.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanachama wa ccm kijiji cha wami dakawa, wilaya ya mvomero. Wamemkabidhi mbunge wao mh amosi makala kadi za uanachama zaidi ya 100; wamesema kila kukicha eneo lao la kuishi linaporwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na upepo mbaya uliokivumia chama cha mapindizi kwa kukimbiwa na kuhamwa na wafuasi wake kuelekea vyama vya upinzani c.c.m imegundua njia mbadala ya kupunguza nguvu ya wapiga kura kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina hakika kama Kweli watanzania tulimwelewa Rais wa Awamu ya pili alipokuwa anasema RUKSA! Mzee mwinyi alichukua nchi ambayo uchumi wake ulikuwa karibu ku collapse. Mishahara kiduchu, hakuna...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na upepo mbaya unaokivumia chama cha mapinduzi wa kukimbiwa na kuhamwa na wafuasi wake kujiunga cdm kuna mkakati wa kutumika madaftari feki ktk marekebisho ili kupunguza idadi ya wapiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Posted by TeamZitto | May 14, 2012 By Zitto Kabwe, MP Shadow Finance Minister Yesterday I issued a statement on my blog on the inefficiency of the Bank of Tanzania (BoT) in regard to publishing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makala Barazani kwa Ahmed Rajab Vigogo wa CCM hamkani wakijipanga kutosana… Ahmed Rajab Toleo la 239 16 May 2012 VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanajikaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thursday, 17 May 2012 20:40 Florence Majani MHADHIRI Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Issa Shivji amesema kuwa, Tanzania haiwezi kufanya mchakato wa katiba mpya bila kuwepo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM matokeo ya urais yapingwe mahakamani Na Muhibu Said 18th May 2012 Pia yashauri madaraka ya rais yajadiliwe Yagusa uteuzi wa waziri mkuu, mawaziri Mwenyekiti wa CCM...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 239 16 May 2012 Wapendekeza kuanzishwa Baraza la Seneti na Bunge lenye mfumo mpya Kikwete apigia debe urais kuhojiwa mahakamani KAMATI Kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by Chris // 17/05/2012 // Habari // 3 Comments Nasaha za Mihangwa Wanasiasa wakongwe: Acheni kupotosha chimbuko la Muungano . . Joseph Mihangwa Toleo la 239 16 May 2012 . ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KIMBUNGA cha ‘Operesheni Vua Gamba, Vaa Gwanda’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kutikisa kote nchini, baada ya kumzoa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Mzee Makamba - Katibu Mkuu mstaafu wa CCM kumshambulia Mukama - Katibu Mkuu wa sasa wa CCM kuwa ameshindwa kujenga mshikamano ndani ya CCM na pia Mjumbe wa NEC wa CCM Mhe Lowasa kusema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ZITTO ZUBERI KABWE ni mbunge ambaye anatimiza mwaka sasa bila ya kuchukuwa posho ya vikao,alisema kwamba nanukuu"Mbunge analipwa mshahara sasa sioni sababu ya kwanini nichukue posho ya kukaa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanabodi. Kada wa CCM, Mustafa Sabodo ametoa msaada wa kujenga visima 10 vyenye thamani ya Sh75 milioni kwenye jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro. Visima hivyo ambavyo tayari...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
NA GODFREY MUSHI 18th May 2012 IPP MEDIA Waziri wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amerusha kombora jipya dhidi ya mwenendo wa viongozi wa Tanzania, safari hii...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…