CCM yasisitiza mfumo wa serikali mbili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yasisitiza mfumo wa serikali mbili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, May 18, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akiongea na waandishi baada ya kumalizika kikao cha NEC amesema CCM bado inapendelea mfumo wa serikali mbili uendelee kutumika katika katiba mpya ijayo.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nani huyo?
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Wana uhuru wa kutoa maoni yao (wao) na siyo maoni ya wote!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Watu wanataka serikali tatu wametoa sababu zao. Pia wanataka serikali moja wametoa sababu zao. CCM nao wanatakiwa watoe sababu kwa nini wanataka tuendelee na mfumo wa serikali mbili? Kwa nini tusiwe na serikali moja, tatu, nne, tano au hata kumi? They must spell out kwanini serikali mbili? Huu ndio mzizi wa mgogoro.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sisi wazanzibar tunataka kila mtu ashike chake (maana yake muungano ufe na uzikwe). Hadithi za serikali 1, 2, 3 au 100 tumezichoka hazina mashiko nasi.
   
 6. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wasubiri 2015 watakapokuwa Wapinzani ili walete maoni yao nasisi tutayaangalia kama yatakuwa yanafaa kwa wakati huo au la. Kwa sasa ni kwamba wameamua tu kujitekenya na kucheka wenyewe, Mfumo waSerikali tatu is Unavoidable kwa sasa.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Ndio sababu nimesema CCM wanatakiwa wawaeleze wananchi kwa nini wanataka mfumo wa serikali mbili? By the way wakubwa wa CCM toka Zanzibar pia wako kwenye hili tamko!
   
 8. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mzee wa 'Nkundumoto@work'
   
Loading...