Kabwe zitto: Atimiza mwaka mmoja bila ya kupokea posho ya vikao vya bunge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabwe zitto: Atimiza mwaka mmoja bila ya kupokea posho ya vikao vya bunge.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, May 18, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ZITTO ZUBERI KABWE ni mbunge
  ambaye anatimiza mwaka sasa
  bila ya kuchukuwa posho ya
  vikao,alisema kwamba
  nanukuu"Mbunge analipwa
  mshahara sasa sioni sababu ya
  kwanini nichukue posho ya kukaa
  mbungeni wakati mbunge kazi
  yake ni kukaa bungeni,Pesa ya
  posho yangu ni bora itumike
  kununulia vitanda vya
  wagonjwa"Mwisho wa
  kunukuu,Hapa ina maana
  kwamba mhasibu nae mbali na
  mshahara basi alipwe pesa ya
  kukaa offisini !!!!!............SWALI
  LANGU NI KWAMBA JE WABUNGE
  WENGINE WA VYAMA MBALI MBALI
  HAWAJALIONA HILI ??? je ni kweli
  wazalendo au wapo ki maslahi
  zaidi ?????
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya ndio suluhisho.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kimaslah zaid
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Issue ya Zitto is not as straight as it seems! Kwa sasa CHADEMA wahangaike na tatizo la Shibuda.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,266
  Likes Received: 19,397
  Trophy Points: 280
  zito for 2015 hutaki acha
   
 6. M

  Musia Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Suala la mishahara ya wanasiasa linafaa kujadiliwa katika mchakato wa katiba mpya. Wanasiasa walipwe kama wanataaluma wengine yaani kila mtu kwa cheo na elimu yake; nadhani Rwanda wanafanya hivyo.
  Big up Zitto
   
 7. m

  mharakati JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Zitto chukua CDM kisafishe na dhana ya Ukaskazini inayokitesa na udikteta wa Mbowe..hapo hata mimi nitahamia CDM
   
 8. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ndio kaacha lakini alizoacha ndizo hizohizo zinatumika na mafisadi, kwa mtazamo wangu bora achukue achangie M4C ni a pale tutapokomboa nchi tuzifute kabisa,kuliko kuacha watumie mafisadi kufitini upinzani.
   
 9. A

  AZIMIO Senior Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Fatisha mada inasemaje?mambo ya ukaskaz au u mashariki unakujaje?
   
 10. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Wabongo vichwa maji kwelikweli.
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Cdm 2015 urahis , shibuda, zitto, na baregu mungu mkubwa lazima chama kisambaratike
   
 12. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  gamba bhana.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nategemea katiba itakuja kuwa kubwa sana,,,,maana kila jambo KATIBA,kila pumzi KATIBA,,jaman katiba inatungwa na sisi,kwanini tusijihurumie wenyewena kujiongoza as binadam,ni utumwa kuongozwa na maandish,suala la urai wa nchi 2 linangoja katiba,ufisad katiba,mavyeo mengimengi katiba,ukuu wa wilaya katiba,biashara ya unga katiba,mikataba katiba,,,,wanawake kupewa uongoz katiba,,,,,,,
   
Loading...