Tunavyozidi kuuza ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunavyozidi kuuza ardhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adili, May 18, 2012.

 1. A

  Adili JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 2,012
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Mwalimu aliwahi kutwambia

  TusiuzeArdhi.jpg

  Tumeanza na tunaenda mbio.......
  Si ajabu wajukuu zangu wataishia kuwa manamba, watwana au vibarua.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi na support ardhi kuuzwa for investment purposes, unauza ardhi ambayo ilikua imekaa tu hakuna shuhuli yoyote inayofanyika hapo. ukimuuzia investor anajenga residential or commercial complex, watu wanaajiriwa na kipato kinaongezeka kwa wananchi...hapo tatizo liko wapi? kila mtu analalamika ardhi amenyang'anywa lakini hata ukimuachia hiyo ardhi hafanyi nalo chochote sana sana anapeleka ng'ombe zake hapo kula...cmon tusiwe tunalalamika tuu... ambacho ningependa kuona ni hizo ardhi zigawiwe kwa local investors kwanza wao wapewe first priority sio kukimbilia kwa foreign investors kila wakati.
   
Loading...