Kada wa CCM Mustafa Sabodo amwaga visima kumi Ulanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada wa CCM Mustafa Sabodo amwaga visima kumi Ulanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 18, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Kada wa CCM, Mustafa Sabodo ametoa msaada wa kujenga visima 10 vyenye thamani ya Sh75 milioni kwenye jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro.

  Visima hivyo ambavyo tayari vimeishakamilika vimejengwa katika Kata ya Mwaya vitatu vipo kwenye shule ya msingi Libenanga, Sekondari ya Cilina Kombani na kijiji ch Nkongo.

  Kata ya mbuga kisima kipo katika shule ya Mbuga, kata ya Ilonga katika Sekondari ya Ilonga, vingine vipo kata ya Chirombola, kata ya Vigoi. Kijiji cha Ebuyu na Safari.

  SOURCE; MWANANCHI MAY 18 2012.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera sana Mustafa Sabodo!!!
  Tunauthamini mchango wako kwenye jamii yetu!
   
 3. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Asijekuwa anachota madini kwa gear ya visima kama bwawa la mindu ,mtz amka akili kumkichwa
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hongereni kwa kujinyenyekeza na kupunguza viburi!

  Heko Sophia Simba!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Sobodo, hongera sana.Pengine itakuja siku tutakuelewa vizuri zaidi unachofikiria au kuitakia Tanzania ni nini.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Alivyokuwa anaisaidia CDM hili hukuliona?
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  vimesimamiwa na ccm au chadema?
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Saaafi sana:clap2::clap2::clap2:
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Vimesimamiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti na Utumishi wa Umma, Celina Kombani.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera sana shujaa Sabodo.
   
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hayo ya cdm yametoka wapi? Nimeongea kama onyo na tahadhari kwa hali halisi iliyokwishatokea
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu Mzee Sabodo ndio anataka kuwajengea ofisi Chadema sasa kwa maneno yako hayo sijui unamaanisha nini.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mmetafuna kodi za walalahoi sasa mnatekeleza ilani kwa msaada wa Sabodo!
   
 14. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kujenga ofisi ya cdm haina maana tumchekee tu tahadhari iwepo tusije kuwa ngazi ya kupitia
   
 15. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  SADOBO anadai alichotoa CDM mpaka sasa ni asilimia 1 tu ya alivyowahi kutoa CCM!!!! mBONA MLIKUWA hamtangazi, kilichowasukuma kufanya hivyo saivi ni nini???

  Hongera SABODO mchango wako ni mkubwa sana Tanzania hii!!!
   
 16. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  umeona eeeeh
   
Loading...