Ccm yazidi kupagalanyika kama mawingu kwa kuwakumbatia mafisadi

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Wanachama wa ccm kijiji cha
wami dakawa, wilaya ya
mvomero. Wamemkabidhi
mbunge wao mh amosi makala
kadi za uanachama zaidi ya 100;
wamesema kila kukicha eneo
lao la kuishi linaporwa na
mafisadi.
 
sasa wamempa hizo kadi Amos Makala ina maana vyama makini kama chadema hakuna huko?

Wangetangaza kujiunga moja kwa moja na harakati za kudai haki zao zinazoporwa.
 
Back
Top Bottom