nataka kujiunga chadema lakini mimi sio mwanachama wa ccm,,nifanyeje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataka kujiunga chadema lakini mimi sio mwanachama wa ccm,,nifanyeje??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, May 18, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba kujua kama chadema inataka wanachama ambao ni wanachama wa ccm pekee au yeyote asiye mwanachama wa chama chochote cha siasa anaweza kujiunga???nauliza hivyo kwa sababu kila siku tunaona Chadema inachukua wanachama wa ccm lakini hatuna takwimu za watu wangapi wasio wananchama wa ccm wanajiunga??hivi tanzania ina watu wangapi mpaka mgombee viwanachama vichache vya ccm na chadema,kwa nini msituweke chini na kutupa sera zenu halafu tujiunge sisi tusio wanachama wa chama chochote???tanzania ina watu mil40 lakini ccm haina hata wanachama mil3,sasa hao wooote waliobaki si muwaendee wawe wanachama wenu??
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hoja mufilisi za kudumu kwa magamba. Wewe ni gamba unahitaji ukombozi chukua hatua
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako wasio wanachama wa wa chama chochote wanajiunga kibao ila hawasikiki, unawasikia wa wale kutoka CCM kwasababu wanatoka walikuwa wana wapotevu hawakujua kwamba walikuwa wrong kwenda CCM hivyo wanautangazia umma na waliobaki CCM kwamba wabadirike
   
 4. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Hadi leo hujui wapi kwako ya kupata kadi yako nzuri kweli?tafadhali fika ofisi yoyote ya cdm mkoa au wilaya utapata kadi hiyo.Acha kutuzuga.Kama una nia tafadhali itafute.Wanachama wapya wanajiunga kila siku lakini hao wa ccm ni watamu zaidi kuwaonesha kina Nape kuwa chama chao kinakataliwa mchana kweupe hasa na sisi vijana.Mimi binafsi sikuwahi kujiunga na ccm.Nimejiunga moja kwa moja na cdm mwaka 2010.Kama ni kijana tafadhali tumia haki yako ya kujiunga na cdm haraka.
   
 5. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
Loading...