Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM. Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani wadau wa saikolojia na wale mnaomfahamu ndugu yetu John Shibuda Je uwezo wake wa kufikiri upo sawa sawa kama zamani au anatatizo la kisaikolojia linalohitaji apelekwe hospitali? Maana mi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
IJUMAA, MEI 18, 2012 NA MAREGESI PAUL, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amesema Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli ana kauli za...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwetu sisi na nadhani na hata kwa makabila mengi ya kibantu SHIBUDA maana yake ni KINACHOUA. Kwa tabia ya dhahiri iliyoanza kuonyeshwa na huyu jamaa shibuda ndani ya chadema hakika naanza kuona na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Video- Muhadhara Lumumba ’3′Written by Nahisi kichefuchefu nikikumbuka muungano // 18/05/2012 // Habari, Vidio // No comments Related Posts
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hoja hii ilianzishwa katikati mwa marekebisho ya JF hivyo tunairejesha: Nimesikia na kuona toka TBC1 habari leo saa 4 asubuhi kuwa serikali imenunua ndege aina ya Boeing 737 toka Dubai, na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Magazeti ya Mail, Guardian yathibitishiwa uhuru Send to a friend Friday, 18 May 2012 22:33 0digg JOHANNESBURG, Afrika Kusini MAGAZETI ya Mail...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimekuwa nikitafakari hizi sera za serikali ya ccm awamu ya tatu na nne nakosa jawabu naombeni wana jf mnisaidie. Kuna kauli zinatolewa kila wakati na uongozi wa juu kuwa mitaji inagombaniwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Chama tawala na zile za upinzani nchini Tanzania kwa muda mrefu. Nilichojifunza ni kwamba watanzania baado hawajajizoesha utamaduni wa kutofautiana kihoja na...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Mwandishi Wetu Toleo la 239 16 May 2012 Wapendekeza kuanzishwa Baraza la Seneti na Bunge lenye mfumo mpya Kikwete apigia debe urais kuhojiwa mahakamani KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwa jamii, hususani katika kusema ukweli. Naomba kujua; JE TUNAWEZA KUTOA MAONI YA PAMOJA JUU YA VIPAUMBELE VYA TAIFA, AMBAVYO VINAPASWA KUWEPO KWENYE KATIBA? JF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wimbi limalotikisa nchini kwa sasa la wanachama wa CCM kukimbilia CHADEMA limeingia Mkoani Pwani ambapo wanachama 250 wa CCM katika kijiji cha Mkoko, kata ya Msata, wilaya ya Bagamoyo, mkoani...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wana jamvi salam. Waziri mpya wa nishati na madini, anaweza kujiuzulu kama kweli hatoendekeza siasa za CCM. Nasema siasa za CCM kwa kuwa yeye mpaka kuteuliwa kwake kuwa waziri wa wizara hiyo...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Toka apite na kuwa mbunge wa Maswa Mashariki Shibuda alionekana wazi kutaka mgogoro na viongozi wa CHADEMA, kwa busara na hekima walizonazo viongozi wachadema hawakujiingiza katika mtego huu...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini akipokelewa na wananchi wa Kata ya Nsoho kabla ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika eneo hilo lililo nje kidogo ya mji wa Mbeya Hapa Mbunge wa Mbeya mjini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekua nikifatilia kwa muda sasa kesi mbalimbali za uchaguzi hapa nchini,lakini kinacho nitatiza ni kua katika hukumu zinazotolewa kama ni chama cha upinzani kimeshindwa utasikia katika hukumu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nilikuwa nacheki CCN nikakutana hii kitu jioni ya leo, ila nimecheki siioni BONGO vipi? au huyo atachee wa Utalii kazi yake ni nini? Balozi je? yani hata RWANDA? Passport DC is a month...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya Vijana SHUJAA,MAHIRI na MAKINI katika mambo ya SIASA tulioweza kuwashuhudia katika uchaguzi wa Urais,Ubunge na Madiwani mwaka 2010 nchini Tanzania Amani Mwaipaja ni mmoja wapo. Kijana huyu...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kesi ya igunga ambayo inafanyika hapa igunga imefikia patamu jana pale waziri sophia simba na aden rage walipotoa ushaidi wao jana.hivi leo asubuhi ccm wamekataa kuendelea na kesi kwa kile...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana JF ivi wajamaa kesi yao imeishaje? Maana naona kama mambo yale yale....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…