Gharama za kuendesha kesi za uchaguzi mbona zinaelekezwa kwa upinzani tu?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Nimekua nikifatilia kwa muda sasa kesi mbalimbali za uchaguzi hapa nchini,lakini kinacho nitatiza ni kua katika hukumu zinazotolewa kama ni chama cha upinzani kimeshindwa utasikia katika hukumu wameamriwa kulipa gharama zote za kuendesha kesi (mfano ni kesi ya Mh.Lema.)Mbona hatusikii chama cha CCM wakiamriwa kulipa gharama za kuendesha kesi wanapo shindwa?????! TUJADILI.
 
Uliza hivi, je kisheria ni katika hali gani mtuhumiwa akishindwa hutakiwa kulipia gharama za kesi kwa aliyemtuhumu?

sio kuleta siasa kwenye mambo ya kisheria! ziacheni mahakama zitimize wajibu wake!

Umeelewa?
 
hayo ni mawazo yako kajisaidie ukalale.
 
Back
Top Bottom