Zitto, Shibuda na Mahusiano yao na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto, Shibuda na Mahusiano yao na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, May 18, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wana CCM wawili ambao hawaaminiki chadema ni Zitto na Shibuda. Kauli na vitendo vyao vinaonyesha wanaipenda CCM au wana maslahi CCM au wametumwa na CCM.

  Pamoja na matatizo yao yote moja lipo wazi CCM wanataka wawatumie walete migogoro chadema. Njia nzuri ya hekima kupambana nao si kuwafukuza, we cannot afford, maana focus yetu ni kujenga chama, bali tuwapuuze. Wakipuuzwa hawataweza kuleta migogoro bali tukilumbana nao watatusumbua.

  Sioni hata sababu ya kumhoji Shibuda. Ni rafiki yangu, namfahamu sana , ni mtu hata ukimweleza vipi haelewi, ni matatizo binafsi zaidi kuliko ya yeye kuipenda CCM. Hata ndani ya CCM alikuwa hivyo hivyo, mara anagombea uenyekiti, mara urais nk. Tusipoteze muda nae, tumpuuze ila tukihangaika nae CCM itamtumia kutuumiza
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ibange naomba uongee kwa hoja na uthibitisho bila kuhusisha jungu,wapi na lini kwa mantiki zip unaweza ukamlinganisha ZITO na SHIBUDA?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mjinga. Hivyo Chadema wasijisumbue kumjadili Shibuda, huyu dawa yake ni kumpotezea tu huyu zuzu.
   
 4. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimecoment lakini sina hoja...napima upepo kwanza.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu utakuwa hujamtendea haki Zito kumlinganisha au kumfananisha na Shibuda. Tunafahamu zito kama mwanadamu yeyote ana matatizo yake lakini si kiasi cha kufikia kufananishwa na shibuda. Zito amesaidia sana katika ujenzi na uimarishaji wa chama tofauti na shibuda ambaye tangu aingie hajawa na mchango wowote zaidi ya ujinga tu.
   
 6. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wa majungu mtawajua tu, yaani ulikuwa unasubiria JF ifunguliwe line uyaanike hapa muda wa wa majungu ulishaga ishaga ni kazi tu:eek2:
   
 7. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama Shibuda ni rafiki yako si ujifichue basi ili tukujue na wewe ni nani rafiki mkia wa fisi, embu tupishe kule tuletee vitu vya maana
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  jamani japo simwamini sana ZITTO lakini kumfananisha na SHIBUDA ni kama kufananisha USINGIZI na KIFO
   
 9. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Upo sahihi kabisa Mkuu
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa shibuda sawa,hapo kwa zitto umegeuka mibange
   
 11. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hiyo ni kweli kabisa hawa watu wawili ni kuwa nao makini tu zaidi kuwapuuza
   
 12. m

  mmanga mswahili Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawaheshimu sana wakuu wangu wote ila kwanini kunakua hakuna hoja za mashiko kwa zito kumuoanisha na ccm unajuatunaweza tukampunguzia morali wa juhudi zake katika kuendeleza taifa letu pia watu wanaouangalia mtndao wetu huu wanaweza kuona ya kua hatuna mchango wowote sisi kwa juhudi za watu wengine na naogopa kuzarauliwa baadae.
   
 13. k

  kitero JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anayofanya Shibuda kayafanya kwa muda muafaka,maana tumepata muda wa kujifunza tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015.Najua watakuja wengi sana na tutakuwa tumejifunza kutoka kwake.
   
 14. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  huyo chibuda anaweza akawa rafiki yako, na zito je? Mtake radhi Mh. Zito hawezi kuwa kama shibuda
   
 15. Imany John

  Imany John Verified User

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  i hate mnaomchukia zitto.. Katika sahihi70 mlimpongeza leo mnamlinganisha na makapi ya juisi? Kweli?
  Wanajf kama wewe hamtufai
   
 16. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hebu tulia, utueleze vizuri taka lini Zitto ni mwana CCM? Halafu utushawishi ni kwa vipi tunaweza kumfananisha Zitto na Shibuda.
  Najua mnamuogopa sana Zitto kwa sababu the guy is very smart and organized. Lakini huoni kumtaja taja ni kuonesha kwamba ni mkali?
  Acha majungu mkuu!!
   
 17. M

  MSAUZI JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 228
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We ndo mjinga kweli,yaani mtu kugombea ndo ujeuri? sasa nini maana ya demokrasi.
   
 18. i

  ibange JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zitto nakubaliana na wote kuwa ni mtu shupavu na mhimili mkubwa chaema. Lakini mtanikubalia pia kuwa ni controversial, mifano ipo mingi moja wapo ni kutomuunga mkono Dr Slaa wakati wa uchaguzi na kumuunga mkono JK kwa madai kwamba JK amefanya mengi kwenye jimbo lake. Sasa anatofautiana vipi na Shibuda kuhusu usaliti?
   
 19. g

  greenstar JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa wanatangaza nia tu lakini hamlali kuwalaani akina Shibuda na Zitto kila siku,je CHADEMA ina wenyewe? Je CCM wakijivua GAMBA na kuvaa GWANDA si mtakufa kwa presha? maana wote wana nia ya kugombea URAIS 2015,lakini wanasubiri mchujo tu !

  Bado EL hajatua mnaogopa ati asipokelewa,chama gani cha UKOMBOZI hiki?" Sasa hivi hamtapata kura za CCM kwa vile ni wanafiki na waoga.Tutaendelea kumtumia CAG na kuwatengeneza akina Utouh wengi ndani ya serikali ili tufikie malengo na si kujaribu chama mbadala cha kipuuzi kama CHADEMA.

  CCM tushikamane,tukubali kuwajibika kwa wananchi na kuondoa wabadilifu wote bila kujali cheo chake..!
   
 20. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,808
  Likes Received: 1,123
  Trophy Points: 280
  greenstar, hivi umeshatoa singo ya mashairi yako uliyotoa hapo juu, maana naona utauza kwa mazuzu wengi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...