Shibuda Mkamilifu?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Jamani wadau wa saikolojia na wale mnaomfahamu ndugu yetu John Shibuda Je uwezo wake wa kufikiri upo sawa sawa kama zamani au anatatizo la kisaikolojia linalohitaji apelekwe hospitali? Maana mi nashindwa kuelewa misimamo yake na matamshi yake kama kazaliwa leo!
Kwani keshafanya vituko vingi, mojawapo:
  1. Alitaka kugombe Urais 2010 kumpinga JK, na watu walimshangaa kabisa, ikabidi akajiondoa
  2. CCM wakoona hawafai wakamtema na CDM wakamchukua, akashinda ubunge
  3. Lile la 2010 kaliibua tena sasa tena ndani yakikao cha CCM yeye kama kiongozi wa upinzani "ingawa sijui kama kweli hayo maneno ya kutaka kugombe urais aliyatoa kweli"
  4. Na vituko vingine vingi vya kupingana na maamuzi ya wengi ndani ya chama.
Mwenye kufahamu atujulishe, ili tuache kumlaumu huyu ndugu yetu.
 
Mvurugaji huyo! Sielewi CDM, kwanini camera zao hazikumulika vizuri na kumkaribisha huyu mamluki!
 
Ubinafsi unamsumbua.. Kidomodomo sana huyu jamaa.. Alivaa gwanda bila kujivua gamba.
 
Ila kama anatumia mbinu za Mrema "Kuvuruga upinzani" nadhani kachelewa sana. Maana sasa watu wanahitaji uwajibikaji.
 
Jamani wadau wa saikolojia na wale mnaomfahamu ndugu yetu John Shibuda Je uwezo wake wa kufikiri upo sawa sawa kama zamani au anatatizo la kisaikolojia linalohitaji apelekwe hospitali? Maana mi nashindwa kuelewa misimamo yake na matamshi yake kama kazaliwa leo!
Kwani keshafanya vituko vingi, mojawapo:
  1. Alitaka kugombe Urais 2010 kumpinga JK, na watu walimshangaa kabisa, ikabidi akajiondoa
  2. CCM wakoona hawafai wakamtema na CDM wakamchukua, akashinda ubunge
  3. Lile la 2010 kaliibua tena sasa tena ndani yakikao cha CCM yeye kama kiongozi wa upinzani "ingawa sijui kama kweli hayo maneno ya kutaka kugombe urais aliyatoa kweli"
  4. Na vituko vingine vingi vya kupingana na maamuzi ya wengi ndani ya chama.
Mwenye kufahamu atujulishe, ili tuache kumlaumu huyu ndugu yetu.

Huyu mzee ni mufilisi hana lolote na hajawahi hata mara moja kufikiri sawa sawa ni kapi tu. cdm walimhurumia wakamchukua na kwa umaarufu na nguvu ya cdm yeyote angeshinda na ndiyo ilivyokuwa kwa shibuda. yuko katika frustration hajui ataishi vipi baada ya 2015 na kujibambika lafudhi ya kipemba ambayo ndiyo ujiko anaojivunia. asikuumize kichwa hana kitu ***** tu huyu mzee.
 
Back
Top Bottom