SHIBUDA Anatimiza Unabii Unaobebwa na Jina Lake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHIBUDA Anatimiza Unabii Unaobebwa na Jina Lake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, May 19, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwetu sisi na nadhani na hata kwa makabila mengi ya kibantu SHIBUDA maana yake ni KINACHOUA. Kwa tabia ya dhahiri iliyoanza kuonyeshwa na huyu jamaa shibuda ndani ya chadema hakika naanza kuona na kuamini uhusiano uliopo kati ya jina na tabia ya mtu.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kwetu ni pombe haramu.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwetu bado sijaipata tafsiri yake!
   
 4. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwetu ni mtu taahira
   
 5. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kwetu sisi ni bwabwa
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  shibuda - dude linalovamia kitu na kukigonga kwa nguvu kwnye shina au kwenye miguu ,
  linaweza kugonga mguu na kuuvunja au kugonga mti na kuuvunja kwenye shina au hata mti kung'olewa/kung'oka !
   
 7. Alonick Antony

  Alonick Antony Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwetu maanayake Chizi.
   
 8. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwetu sisi ni mpango ulioshindwa "mission failed"
   
 9. M

  Mopero Senior Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu ni taahira ambaye hafai katika jamii yoyote
   
 10. M

  MWananyati Senior Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kikwetu sie ni kibudu
   
 11. M

  MWananyati Senior Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwetu sie Shibuda ni KIBUDU!
   
 12. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwetu sisi ni mtu mwenye jinsia mbili. yaani ya kike na ya kiume.
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kwetu ulaya ni SHE
   
 14. o

  oakwilini Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwetu mlafi(mroho)a.k.a yote kwangu.
   
 15. wizaga

  wizaga Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  na kwetu ni mavi ya mbolea au samadi iliyoachwa zizini muda mrefu na zizi hilo kutotumika tena au zizi linahamishwa sehemu nyingine-hiki ni kisukuma
   
Loading...