JF na uandikwaji wa Katiba Mpya.

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,453
3,203
JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwa jamii, hususani katika kusema ukweli.
Naomba kujua; JE TUNAWEZA KUTOA MAONI YA PAMOJA JUU YA VIPAUMBELE VYA TAIFA, AMBAVYO VINAPASWA KUWEPO KWENYE KATIBA? JF ina msaada mkubwa sana katika mustakabali wa Taifa.
 
Back
Top Bottom