Ununuzi wa ndege: Je, serikali haijavunja sheria hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ununuzi wa ndege: Je, serikali haijavunja sheria hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, May 17, 2012.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,089
  Likes Received: 2,220
  Trophy Points: 280
  Hoja hii ilianzishwa katikati mwa marekebisho ya JF hivyo tunairejesha:

   
 2. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nilisikitika kusikia habari hizi kwa sababu kuna ajali ya ndege iliyotokea mwezi mmoja tu uliopita, na moja ya sababu ilionyesha kuwa ni uchakavu wa ndege hiyo! Sasa tena...
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ndege ya kuazima hiyo sio ya kununua
  kama kununua walitakiwa kununua ilipo kampuni ya boeing nadhani France
  ingine ya kuazima ipo juu ya mawe pale mwanza na ingine ipo Ufaranza inatengenezwa huku wenye nayo wakilipwa kila mwezi
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wakati wa Julius Nyerere na Ujamaa wake tulinunua ndege mbili za Boeing 737 hatukununua vichakani kama sasa hivi Nyerere alimtuma Agustine Mwingira - then Waziri wa Uchukuzi na Captain Mazula; Kukodi kwanza na zikiwa nzuri kununua ndege mbili toka USA ambako Boeing zinatengenezwa.

  Check hapo Hizo ndege hazikuwa na Matatizo yoyote Moja ilikuwa KILIMANJARO na nyingine SERENGETI zilidumu na nakumbuka moja ilitekwa ilisafiri mpaka London; na kurudi na bado ziliendelea Mpaka Utawala w Mkapa

  Kwanini sasa hivi walafi wanakwenda sehemu nyingine LEBANON; DUBAI ndege zimeshachoka? ni kula hawajali wananchi na ni nani anahusika kukodisha hizo ndege? lazima kuna middle men; sio serikali kama wakati wa JK Nyerere
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Boeing ni American. Inatengenezwa Seattle, Washington. Airbus ndiyo ya Ufaransa.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hawa ATCL sidhani kama wana nia ya dhati kuliimarisha hili shirima,kwa nini wasiombe pesa selikalini wakanunua ndege mpya hata 8 tu?wachanganye boeing 2 hivi za watu 105 hivi,ATR 72 ziwe 3 hivi na ATR 42 ziwe 3 pia zinatosha kuanza kusumbua anga la tanzania na EA kwa kweli inakuwaje private company wanatusumbua nchi kama tuko vichaa kabisa?sielewi huyu Chizi anajua analofanya ama!!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,995
  Trophy Points: 280
  Tatizo rais wetu hayuko makini, watendaji wake wanamuona kama babu yao na nchi yetu wameigeuza shamba la bibi
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  ile ndege imekodishwa,sasa hivi hatuna hela hata ya kunnua matairi ya ndege!siwezi kupanda ndege za atcl,si salama kabisa sababu shirika linaendeshwa na wahuni
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tanzania nchi inayoongozwa na void hutegemi ikawa na mipango yoyote ya maana, hata haiwezi kufuata sheria zake. Angalia RwandAir iliyoanzishwa mwaka 2002 uilininganishe na Air Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1977!!
   
 10. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nadhani sheria ilibadilishwa ku-allow mitumba kwenye baadhi ya vitu. Kuliwaka sana bungeni that day Bw Nundu alitoka povu kutetea mitumba huku akihoji uzalendo na nia ya wanaopinga.
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wahuni si afadhali. Mimi nasikia huyo mkurugenzi wao wanamwita/anaitwa "CHIZI". Kuna kazi kweli hapo?
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  nngu007 huko Lebanon kama hawataibuka na kashfa sijui. Manake Lebanon imejaa matapeli wa kimataifa.Huko unaweza kuuziwa hata white house na document zote ukapata.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,995
  Trophy Points: 280
  Kwani nchi hii inaendeshwa na nani kama sio kundi la wahuni?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kimbunga Yeah Lebanon naona walikwenda kukondi AIRBUS; AIRBUS ni ndege inayotengenezwa Ufaransa na nasikia ilipotua tu DIA au KIA haikuweza kuwaka tena imelala hapohapo na tumesaini Mkataba na ni pesa nyingi na hatuna na kwasababu tuliiondoa huko Lebanon salama ni juu yetu kuitengeneza na ni kopo; Imekaa kwa muda mrefu sana na hela zinaongezeka na interest Juu

  Na nasikia hii ni bungeni wanataka tuwape Bandari ya Mtwara kama Malipo ya hiyo ndege, Sasa bandari ya Mtwara itakuwa nyeti karibuni itasafirisha mizigo ya Malawi, Gas yetu kwahiyo hapo wameula

  Na nadhani serikali ilikubali, Mpaka Wapinzani walipogundua.
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mwakyembe una kazi
   
 16. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,689
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tuacheni upuuzi:

  Kwanza serikali haifanyi biashara ya usafiri wa anga... Kampuni ya ndege ATC ndio unaweza inafanya.... pili. ndege hainunuliwi kama ndizi sokoni... you have to make order na delivery is 1-3years: Kama ingekuwa manunuzi pia yatafanywa na kampuni ya biashara a limited company called ATC/ATCL what that is....
   
 17. k

  kayumba JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu Kasheshe umesema "Tuache upuuzi" (Naona server za Mods zinagoma kuretrieve post yako hapa)Ebu na wewe badirika yai kwa kina lake "yai"! Kweli huamini kuwa anayefanya biashara pale ATCL ni serikali? Iweje leo deni la Mlebanon ifikiriwe kulibadilisha na bandari yetu kama ile biashara ni ya Limited Company!Kinacho haribu ATCL ni mawazo mgando ya watawala na wengi wa waTz, serikali inaouwezo wa kudhamini shirika hili la taifa likachukua mikopo na kununua ndege zake mpya badala ya kudhamini madili kama yale ya Mlebanon. Tatizo wote tunalijua; ukinunua mgao kama ukibahatika kupatikana (through middlemen) ni kidogo na ni mara moja, lakini ukikodisha huo ni mrija ufyonzao kwa muda mrefu!
   
Loading...