ccm na vyuo vikuu,,nani mchawi,nini hatima yake,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na vyuo vikuu,,nani mchawi,nini hatima yake,,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkizungo, May 20, 2012.

 1. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :spy::spy:kumekua na hatua mbalili mbali ambazo ccm imekua ikichukua kukabiliana na kuporomoka kwake,,,,,,moja ni kutumia mbinu za upinzani na kuteka mijadala,,mf,,,katiba mpya,,,mafisadi,,,,kujenga uzalendo na utaifa,,,,kuingiza vijana wasomi kwenye siasa za kitaifa,,,,,hivi karibun nec,,,ccm wametangaza kuanzisha mkoa wa vyuo vikuu,,,,kuiga mtandao wa cdm vyuon ambao umekuwa ukipingwa,,,nini hatima ya mnyukano na mtifuano vyuoni na future ya wasomi hawa,,,suala la mshindi wa urais kuhojiwa mahakamani,,,,,,,,vyema,,,lakin imezoeleka,wanavyoshindwa ku impliment hicho waigacho katika excution para,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,nini hatima ya mtifuano huoo,,,amani ya taifa hili,,,,,,,nashawishika kuwa kuna hatari itokanayo na muigo huu,,,,,,nini mtazamo wako juu ya hali hii,,,,:spy:
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanatafuta vijana wa kuwapa Posho kama vile Wali kwa beans si usafiri wa kwenda na kurudi campas hilo ndiyo si wengi wetu tuna njaa saana... kama Udom na wengineo.... vijana wa vyuo wana ushawishi mkubwa kwa wanachi wetu maana 80% ya watz shule hamna.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huko ni kutapatapa kisiasa kwani kimbunga na operation vua gamba vaa gwanda ni balaa hawana pa kushika hawa hawa walituhamasisha tulioko vyuoni tusiwasikilize wanasiasa leo wanakuja tena kuyala matapishi yao sasa wamekwisha
   
Loading...