Mnyika kukamatwa kama Mwigamba na Kibanda kwa kuchochea polisi kugoma

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda kukamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na uchochezi. Kama polisi mnaacha kumkata kwa kuwa ni mbunge mumkamate mara baada ya hukumu itakayotengua ubunge wake na kuwa raia wa kawaida tarehe 24 Mei 2012.

...ndiyohiyo
 
Kamateni kwanza mafisadi, na waliokata mapanga wabunge wa chadema mwanza, nk hili lingekuwa jambo jema kwa watanzania, mnayoyafanya yana mwisho, wakati unakuja nanyi mnyee ndani ya ndoo.
 
Anzisha thread nyingine Kama "Mbowe ni fisadi kwasababu ana gari" au "Dr slaa Ana mtoto " zote hizo zitauza hapa JF Pambaf wewe
 
Mleta thread mbona hutoi vithibitisho vya polisi kutaka kumkamata mnyika? Pia kuhusu mnyika kuvuliwa ubunge mi nadhan kweli mahakamaccm inaweza ikafanya hivyo maana hawa watu ni wabaya sana na huwa wanballance kesi koz wanjua Mnyika akiwepo kwenye bunge la katiba itakuwa ni utata mtupu na patachimbika .
 
Acha upuuzi wewe! Matatizo ya canine rabies ndo symtoms zake hzo,jaman kamateni huyu jamaa apewe chanjo ya kichaa cha mbwa...
 
Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda kukamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na uchochezi. Kama polisi mnaacha kumkata kwa kuwa ni mbunge mumkamate mara baada ya hukumu itakayotengua ubunge wake na kuwa raia wa kawaida tarehe 24 Mei 2012.

...ndiyohiyo

Mkuu kumbe tayari mna nakala za hukumu?, kwenye hii nchi sasa ni ipo kwenye 'Law of the Jungle...'. Lakini pia nimemsikiliza Mnyika alichoongea ni facts tupu. Polisi hawapaswi kufanya kazi za siasa wakifanya wanakuwa fair game kwa wanasiasa.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom