Wafugaji na Wakulima Ikwiriri - Rufiji wapigana

Hii itakuwa ni uzembe wa viongozi wa maeneo husika, mara nyingi kama viongozi ni wakulima nakuwa wanajali maslahi ya upande ambao unawapendelea na wao kama viongozi ni wafuagaji ni hivyo hivyo watakuwa wamepuuzia taarifa na kuchukua hatua hadi hali imefikia hapo.
 
Back
Top Bottom