Kikwete nje ya nchi na watu kumi na sita 16 ati wanaita ujumbe.....!!

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Huyu Rais mtalii yuko safarini na watu kumi na sita 16,sasa la kujiuliza ni kwamba hawa watu wote wanaenda kufanya nini na wote hawa lazima walipwe so hapa si ndo kule kutafuna Taifa au tuseme wanatafuna chapaa za walipa kodi.Hivi huyu jamaa anaitakia nini nchi hii maake its too much kwa nini asiende na watu hata 3 ukiongeza mabodigadi,Dr na mke wake?
Poleni sana kwa wale wote walioshiriki kumpa kula badala ya kura wakati ulee wa uchaguzi na kuchakachua matokeo,poleni sana kwa maisha magumu na bidhaa feki hiki ndo kipindi chenu Watanganyika na bado miaka 3 safi kabisa mtakula nyasi
 
Mimi kwa idadi ya namba sijali vya kuangalia je ziara yenyewe ina maslahi kwa taifa hili?Kama maslahi yapo its ok for me.Manake wakuu wengine wa afrika hii hiyo no ndugu yangu ni ndogo sana
 
Ili nalo la kuliweka kwenye katiba Maximum raisi aruhusiwe kusafiri na watu wangapi!
Kama ni safari ya kikazi mkewe wa nini?
Ikiwezekana wote wanaoenda nae wakrudi kila mmoja anapresent kipi cha manufaa alichogain
 
Na bank kuu ndo hiyo imefirisika,tutalia na kusaga meno.
Huyu Rais mtalii yuko safarini na watu kumi na sita 16,sasa la kujiuliza ni kwamba hawa watu wote wanaenda kufanya nini na wote hawa lazima walipwe so hapa si ndo kule kutafuna Taifa au tuseme wanatafuna chapaa za walipa kodi.Hivi huyu jamaa anaitakia nini nchi hii maake its too much kwa nini asiende na watu hata 3 ukiongeza mabodigadi,Dr na mke wake?
Poleni sana kwa wale wote walioshiriki kumpa kula badala ya kura wakati ulee wa uchaguzi na kuchakachua matokeo,poleni sana kwa maisha magumu na bidhaa feki hiki ndo kipindi chenu Watanganyika na bado miaka 3 safi kabisa mtakula nyasi
 
Rais wa CDM yeye atasafiri peke yake ili kubana matumizi, tena kwa mazoezi ameanza kuendesha helikopta ili aendeshe ndege mwenyewe tupunguze kosti. Na ulinzi si muhimu tena Slaa atakuwa analindwa na damu ya yesu. Wasaidizi wote tutapiga chini.
 
Msafara wa Raisi unatakiwa na Doctor 1, walinzi 2, mpiga picha 1, Waandishi wa habari 2, mpiga pasi 1, Maofisa wa usalama wa taifa 2, mwandika hotuba 1, washauri wa Raisi 2, mpishi 1, watu wa protokali 2 na first lady.

Hivyo kuwa na watu 16 ni sawa kabisa na kwa kweli Mh Raisi ameweza kusikia kilio cha watanzania kwa kupunguza idadi ya watu katika misafara yake.
 
Huyu Rais mtalii yuko safarini na watu kumi na sita 16,sasa la kujiuliza ni kwamba hawa watu wote wanaenda kufanya nini na wote hawa lazima walipwe so hapa si ndo kule kutafuna Taifa au tuseme wanatafuna chapaa za walipa kodi.Hivi huyu jamaa anaitakia nini nchi hii maake its too much kwa nini asiende na watu hata 3 ukiongeza mabodigadi,Dr na mke wake?
Poleni sana kwa wale wote walioshiriki kumpa kula badala ya kura wakati ulee wa uchaguzi na kuchakachua matokeo,poleni sana kwa maisha magumu na bidhaa feki hiki ndo kipindi chenu Watanganyika na bado miaka 3 safi kabisa mtakula nyasi

Usisahau kwamba huyu ni Rais wa Nchi na siyo kichwa ch
 
wewe unalalamikia watu 16 tu, mbona wamepungua sana! Kwani nani analipia hizo ziara? unadhani angekuwa anatoa mfukoni mwake angebeba watu wote hao? unadhani zingekuwa zinatoka kwake angeendekeza misafari yote hiyo isyo na tija? Wewe unadhani kama taifa tutapata nini kwa misafari yake ya ajabuajabu? nyie subirini tu, siku moja mtaamka na kutangaziwa kila mtazania ameuzwa kwa dola kadhaa kwa Marekani!
 
Huyu jamaa kikwete ni hatari ni mtu wa kutanga tanga hebu jiulizeni mmesikia marais wangapi wa afrika mashariki na kati wanaalikwa na Obama, kwa nini ni huyu jamaa tu huyu ni mtu mtangatangaji asiye jua la kufanya na ni limbukeni maana akisafiri anaanza kujisifu nilikuwa wapi sijui. Kitu cha kujiuliza ukisafiri unavyochoka lakini yeye yupo kila siku njiani sasa sijui ameumbwaje huyu mtu ni balaa kubwa kwa mstakabali wa taifa hili. Na huo upuuzi heti ziara zina tija gani kwa wananchi, utumbo mtupu
 
Alikuwa na Bono wakihojiwa na Andrea Mitchell wa MSNBC.
Angalia kama anaongea vizuri.

Sidhani kama hicho Kiingereza ni sahihi!!!!!!

msnbc tv
 
Mwacheni jamani nchi yetu kubwa sana............kikwete anajitahidi kuhakikisha kila mkoa unakuwa na muwakilishi angalau mmoja kw\ hiyo ana nia njema kabisa tatizo letu watz wabishi sn.......nchi hii kubwa sana ...nyie mnataka aende ziarani na watu watano km afanyavyo w/mkuu wa uingereza wkt mnajua kbisa uingereza ni kanchi kadogo kabisa ukikompea na linchi letu?.....mambo ya nchi masikini sijui nini na nini mtajitu wenyewe...lakini rais anaangalia maslahi ya watz wote kwa kujitahidi kila mkoa unakuwa na mwakilishi......
Mwacheni rais wetu...hata hivyo bado miaka mitatu tu kwani kuna shida gani si ataondoka?....akiondoka atakuja yule wa kuondoka na shangazi na wajomba wake wote mtasemaje?....
 
Mimi kwa idadi ya namba sijali vya kuangalia je ziara yenyewe ina maslahi kwa taifa hili?Kama maslahi yapo its ok for me.Manake wakuu wengine wa afrika hii hiyo no ndugu yangu ni ndogo sana

tatizo la kikwete ni cheap and weak president ndo maana mikutano hata ya kijinga jinga anaenda tu....mbona mwai kibaki yuko ikulu anafanya kazi sio kuzurura zurura tu...sasa bora huko anakoenda angekuwa anaongea mambo ya maana..ni mautumbo tupu..ptuuuuh
 
majuto ni mjukuu... Iwe aliiba kura ama mlipa kura yote sawa tu, mwache ahondomole hadi 2015 si mbali.
 
Back
Top Bottom