Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.

Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
 
Wanaanza kuondoka mmoja mmoja kabla ya uchaguzi wa ccm maana baada ya hapo hali itakua mbaya sana kwa mafisadi..
 
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.

Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo

Yamekuwa hayo tena, huku ndiko kutupa jongoo na mti wake, kwa heri Rostam.
 
Kutokana na Sheria mpya ya BOT ambayo inamtaka kila Mteja aweze kuwasilisha details zake na mapato yake kwa mwaka kupitia Benki yake, ambayo kwayo, ni rahisi kugundua fedha chafu, jamaa ameona ndio mwanzo wa kuumbuka.

Na hii issue jamaa ameiona iko likely ku-cease some people's accounts, jamaa ameshastuliwa na vibaraka wake ili asepe mapema kuogopa kufungiwa pesa zake alizotuibia.

Aondoke. Lakini laiti tungelikuwa na Rais "Msafi" angelimtia hatiani mtu huyu, mali zake zingelikamatwa na kunadiwa kabla ya kutokomea Malaysia. Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Kutokana na Sheria mpya ya BOT ambayo inamtaka kila Mteja aweze kuwasilisha details zake na mapato yake kwa mwaka kupitia Benki yake, ambayo kwayo, ni rahisi kugundua fedha chafu, jamaa ameona ndio mwanzo wa kuumbuka.

Na hii issue jamaa ameiona iko likely ku-cease some people's accounts, jamaa ameshastuliwa na vibaraka wake ili asepe mapema kuogopa kufungiwa pesa zake alizotuibia.

nai wa kuchukua pesa za Rostamu? BoT? Wale wote karibu ni wateule wa Rais, hawawezi kumfanyia hivyo mwenzao
 
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.

Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo

Basi itakuwa ni kiasi kikubwa sana, ina maana na zile kampuni zake hazitaoperate tena hapa Tanzania? This is the right time for the government to square things up with him. Its now or never
 
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.

Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo

BOT hao hao si ndo walimpa fedha za EPA?
 
Ule wimbo mtamu wa CCM wa kuvua magamba ndio ulisababisha gamba hili kujiuzulu kwa kisingizio cha siasa uchwara!
Kama gamba kuna kila sababu ya kuchunguzwa Huyu jamaa coz yuko Karibu kwa kila kichwa cha mtanzania kwamba yeye Ni fisadi, vipi serikali iko wapi?! Kwa nini hashitakiwi? End of a day anataka kuchukua kile ambacho waTZ wengi tunaamini katuibia!! Kwa nini serikali isijiridhishe na kuridhisha wananchi wake?
 
Naomba tutafakari hii saga katika context ya "dual citizenship" ambayo Membe amekuwa anaipigia debe sana. In theory dual citizenship ni kitu kizuri maana tunaambiwa kuwa watu walio nje ya nchi wataweza kuwekeza nyumbani. Sijui wako wangapi na kati yao nani anafanya kazi kubwa kubwa na nani anabeba mabox! Ila wasiwasi wangu kwenye issue ya dual citizenship ni kwamba unapokuwa na nchi/serekali legelege watu watahamisha 'capital' kurahisi kabisa kwa sababu wana uraia wa nchi nyingine.

Swali langu kwanini Rostam amechagua Malaysia? Kwa nini isiwe China, Uswisi, Cambodia, Urusi au hata Kosovo? Why Malaysia?
 
Harusiwi kutoka hapa Tanzania?
Ataondoka tu rais alisema atamrejesha balali pindi atakapohitajika kama atakuwa na tuhuma za kujibu yuko wapi leo hii?kwa hali ya nchi kama tanzania ni vigumu mno kumshupalia mtu type ya rostam. He is dirt. In our eyes but also too smart to our leaders heart,he is then a prominent breadwinner for the lustfull leaders souls. Tulia rostam no one can ever cast a stone for no one is that clean among those who are in the system nor their minor citizen
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Haiwezekani, hatuwezi kukubaliana na sera zao, watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe wenyewe! huu ni umaandazi, hatuko dhaifu kiasi hicho, hao ccm wenzake ndo dhaifu, kwetu sisi anatuhuma za kujibu juu ya ubadhirifu wa kutisha alioufanya nchi hii chini ya mwavuli wa ccm, asiondoke huyu maandazi huenda ni wa kufilisiwa
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom