Chadema haina KYC katika kuandikisha wanachama wapya hasa kutoka ccm??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema haina KYC katika kuandikisha wanachama wapya hasa kutoka ccm???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakupita, May 20, 2012.

 1. w

  wakupita Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Unapoangalia yanayoendelea kati ya bavicha na shibuda then unaforecast yatakayotokea kati ya chadema na olle millya afu unakuja kuhitimisha kwamba chadema haina sort of KYC (know your customer) kabla ya kuwakubali inaowaita wavua magamba na wavaa magwanda,then unareflect the demise of Nccr mageuzi at the time of lamwai,marando mrema and the likes,so chadema kama wako serious should learn from the demise of Nccr mageuzi Intenall conflict inayochochewa na tawalaaaaaa
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watz hatuko serious... Njaa inatusumbua tu,, hao watakaovaa gwanda ni wazalendo wa kweli au wana marajio fulani.
   
 3. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  What you call demise never happened to NCCR-Mageuzi. NCCR lives on and on and on no matter how repeatedly you guys speak of its demise. Lamwai, Marando, Mrema waliondoka chama kiko pale pale. Pole sana.
   
Loading...