Mkuu wa wilaya ya Iramba kumbe ni mwanafunzi Finland mpaka 2014!

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Star Tv Habari

Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya

Ukistajabu ya Musa .........
 
Mkuu sio anasoma kwa njia ya matandao kweli.Manake saa nyingine tuwe wakweli sio kuleta uzushi tu.
 
Labda ataahirisha masomo kwa muda aje avute mkwanja huo wa ukuu wa wilaya. Zama hizi za JK we ukiona uteuzi wowote just chukulia poa maana maajabu ni mengi.
 
Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Ukistajabu ya Musa .........

wakwe zangu wanamsemo " non c'è limite al peggio" translated should read " worse knows no limit" but in this case i'll try not to believe what you have written eventhough I don't have any reason behind. Nataka kujipa moyo kuwa bado hatujafika huko - sipingi taarifa yako ila ninajipa moyo kuwa we've not yet reached that point of no return!!!!

Mimi na ndoto zangu za Alinacha.

hii nchi bwana, Mungu tu anatulinda, japokuwa vyeo vyenyewe havina umuhimu zaidi ya kuongeza gharama, ila hii haina akiri na haingii akirini kabisa, haina tofauti na Mbuge kuwa RC au DC, hivi ina maana watu mil.40 hukuna wengine zaidi yao?
 
Kumbe Nawanda Yahaya anasoma Finland? huyu jamaa ni kichwa lakini japo sidhan kama anaexperience kwenye kazi za kiserikali.
 
star tv habari

mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa wilaya ya ilamba mh. Nawanda, yahya kumbe ni denti wa finland na anasoma majuu finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya

ukistajabu ya musa .........

mkuu wa wilaya hana mchango wowote kwenye kazi za maendeleo ya wananchi. Hata kama tusipokuwa na wakuu wa wilaya nchi mzima ni sawa tu. Kuna mkurugenzi wa halmashauri, mwenyekiti na madiwani. Hawa pamoja na watumishi wengi wa halmashauri ndiyo watu muhimu kwa maendeleo ya wananchi.
 
Star Tv Habari

Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.

Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya

Ukistajabu ya Musa .........

@ Dosama; Kaka una uhakika na chanzo chako????
Hata kama ni Tv kwa hapa wamechemsha sana tu ........ilikuwa ni short course alienda na kasharudi yupo hapo kwa semina elekezi ni course maalum kwa wanaofanya PhD kutoka taasisi za elimu ya juu

Kwa kuweka kumbukumbu sawa

Kwa wanaotaka CV yake kwa ufupi; B.A Sociology, M.A DS zote UDSM and now a registered PhD Student at SUA
 
Back
Top Bottom