Bado Kidogo 2015
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 207
- 78
Kwa wale waliokuwa wakimfuatilia marehemu Sheikh Yahaya Hussein basi wataelewa hesabu hii.
CCM = 3+ 3 + 13 = 19
CDM = 3+ 4 + 13 = 20
Huu ni kwa mtitiriko wa herufi jinsi ulivyo ukilinganisha na namba kama nilivyofanya hapo juu. Kwa mantiki hiyo leo hii nawaambia wanaCCM wote kuwa licha ya upepo mbaya unaovuma saizi wasifikiri utapita tu. Wakae wajue hilo kuwa hata kinyota CDM imewazidi hapo juu, CCM (19) na CDM (20).
Inaonyesha mtu ajiyetafuta jina la CDM alikuwa mjanja sana au alichungulia kwa yule marehemu Sheikh Yahaya.
CDM itakumbwa na dhoruba nyingi sana lakini aminini itapita na kama itakuja kushindwa siyo na CCM bali chama kingine.
Karibuni tuchangie wakuu.