Live from mwanga: Operation vua gamba vaa gwanda inaendelea

Live from mwanga: Operation vua gamba vaa gwanda inaendelea

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,011
Reaction score
1,794
nIPO viwanja vya soko la mwanga makamanda wa CDM wananguruma hapa wakiongozwa na Godbless Lema
Magamba yanauwawa hapa sina kamera hapa lakini hali ni tete kwa wamagamba ulinzi upo wa kiishkaji tu polisi nane hawana hata fimbo nao ni wanagwanda kimtindo
 
Kuna rap moja ilikuwa inaimbwa, "ni wakati wa kujilinda sasa utakoma utahenya na kizazaa" M4C ni kizazaa kwa magamba hawajui kama kampeni ya 2015 imeanza wao wapo gizani kuwania nafasi ya urais ambayo mgombea wao atalambwa kama Lusinde alivyosababisha walambwe Arumeru East.
 
Kazi kweli kweli, hawatoki mwaka huu, labda wavuje malongo!!!!!
 
nIPO viwanja vya soko la mwanga makamanda wa CDM wananguruma hapa wakiongozwa na Godbless Lema
Magamba yanauwawa hapa sina kamera hapa lakini hali ni tete kwa wamagamba ulinzi upo wa kiishkaji tu polisi nane hawana hata fimbo nao ni wanagwanda kimtindo
Nimefurahia hapo ktk rangi nyekundu, hawa ndugu zetu mamwera wanapata mtihani sana kuonyesha hisia zao kiitikadi ya chama.
 
Kampeni zitapigwa mpaka sebuleni mwao na hata mvunguni kutaingilika!
 
wasisahau ugweno na usangi pia langata ikibidi hata huko butu
 
Viva chadema.vp msuya amevaa gwanda?
Leo tupo Usangi kama ilivyo kwa selasini ,mbowe , Lema na wengine kutomshambulia Basil Mramba ndivyo ilivyo kwa wanamwanga. Mzee Msuya kaifanyia mengi Mwanga na Kanda ya Kaskazini ni ngumu sana kumshambulia kwanza yule anaamini KICHADEMA CHADEMA ingawa yupo CCM. Vision yake ni ya mbali sana tofauti na magamba wanavyofikiri kimasaburi masaburi. Kumshambulia Cleopa haiwezekani. Maghembe sawa kabisa kwani ni dhahiri hawezi
 
Wapare wakiambiwa hata geuka nyuma na Cleopa Msuya wanageuka wote amini usiamini.Sina imani nao kabisa hivi viumbe.Labda tuanze na msuya hawa wengine kama kumsukuma mlevi.
 
lema usirudi bila kuongea na msuya na peter kisumo hao ndio wanasimika viongozi panda kule usangi pitia hapo ugweno vuchama ,waamke sasa .
 
MZINGA wapare wa zamani si wa sasa hivi,usikariri,HUYO MSUYA mwenyewe CDM kiaina we subiri tu muda ufike.VIVA CDM M4C
 
Back
Top Bottom