Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, May 24, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkutano wa CDM Jangwani kurushwa Live ITV.

  Source Matangazo ya ITV
   
 2. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kweli au baada ya kuona tangazo... la kualika makamanda.
   
 3. H

  HOJA YANGU Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wote wapenda mageuzi nchini Tanzania, ITV itarusha live matangazo ya mkutano wa CHADEMA siku ya Jumamosi jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa kumi jioni. ITV tayari wameshaanza kuutangaza mkutano huo.

  Source: ITV
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu ITV itarusha Live kuanzia saa 10 jioni
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pamoja saaaaaaaaana
   
 6. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni habari njema, tulioko pembezone tutafanikiwa kufuatilia matukio.
   
 7. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona magamba saizi yanagonga masaburi maama tokea uchaguzi uishe hawajawahi kufanya mikutano sehemu nyingi hata za kushukuru.

  Kasi ya CDM inaitisha sana CCM
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  kudadadadadadadeki....mbona magamba mna tabu sana safari hiiii

  imebaki mwenyekiti wa chama kuvua gamba kuvaa gwanda tuu
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Utafanyikia wapi?dar kubwa mkuu
   
 10. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe kweli BONGOLALA ni jangwani.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwenye uwanja uliotumika kutangaza the list of shame!
   
 12. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Poa kamanda pamoja sanaaaa....nimekusoma hila mimi nitakua live jangwani
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  This is what I was talking about kwenye ile thread William Malecela anamponda Freeman Mbowe kwenda Clouds FM
  Wote wameshaona dalili za mabadiliko na wanataka kukwea treni lililo sahihi. Clouds pia watatangaza live. It is a big deal.
   
 14. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hapo patam, aithinki pale magogoni aitivii inashika bila zengwe, kama ina skrachi, basi yule jamaa wa IT na kurugenzi ya mawasiliano afanye mambo ili baba rizi awaone makamanda.....
   
 15. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hivi baba rizi user name yake iko je tum tag hii post??????
  au atakua ameenda mali kumpa pole yule jamaa aliyekutana na waasi??????
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  watu laki moja jangwani milioni 10 kwenye luninga,sera zitawafikia watz
   
 17. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama William J Malecela alimponda kamanda wa anga kwenda clouds basi William atakua na matatizo na CDM au MBOWE,angemsikiliza KUSSAGA mmiliki wa Clouds alivyokua anamshukuru MBOWE kwa kufika kwake juzi,maana walikua wakimtumia mialiko kutembelea ofisi zao muda mrefu sana,ila Kamanda wa anga alikua anashindwa kwa kua ratiba ilikua inabana!ila stategy ya Cdm nimeikubali,there is no way c.c.m watatoka 2015
   
 18. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Magamba wanachafanya kwa sasa hv ni kuihujumu nchi kuiba wakiwa wanafaham kuwa 2015 hawarudi madarakani
   
 19. Bitende

  Bitende Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikweli kabia mkuu itakuwa LIVE BILA CHENGA
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kuna post ya William malechela anasema wataoka CCM akimpa pole mbunge wa rombo
  nadhani soon atajumuika na chadema kama sijamwelewa ndivo sivo
  ameshajua ukweli hakuna jema litokalo CCM kwa sasa
  aingie chadema apambane kuimboa nchi utumwani na umaskini
   
Loading...