Jumuiya ya Uamusho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumuiya ya Uamusho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, May 25, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Jumuiya hii ni ya wanaharakati wa kueneza dini ya kiislamu au ni wanaharakati wa kisiasa?
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Nadhani Vyote kwani wewe unawaza vipi?
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Masaburi yako mimi nikadhani jambo la maana kumbe upuuzi.Fanya yako wacha kufuatilia yasiyokuhusu au peleka fb.
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Umekwishawahi kusikia wanachosema?
  Tafuta kanda zao na utapata jibu la swali lako.
   
 5. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nilidhani ni jumuiya ya kufundisha uislamu na maadili yake. Lakini swala la kuwasemea Wazanzibari wote kupitia mgongo wa uislamu si sawa na isitoshe hata huko katika mizizi ya uislamu yaani nchi za kiarabu si wote wanashabikia uislamu kuisemea siasa!
   
 6. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Jambo la maana ni hiki kinyesi ulichomwaga hapa?
   
 7. m

  mzaire JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe utavoiita inakuwa sawa kwani unadhani Uislam umeishia kwenye kuswali tuu ? Uislam umesheheni kila aina ya mambo yenye maslahi na binadamu kama huyajui uliza au kaa kimya! Usishangae sana, lakini pia Katiba yao imeruhusu Taasisi za kidini kuzungumzia siasa na maslahi ya nchi.
   
 8. m

  mzaire JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibu lako liko www.mzalendo.net na http://zanzibaryetu.wordpress.com ingia humo utapata jibu, Mkuu ya Zenji hayakuhusu achana nayo hawa jamaa wanatafuta uhuru kwa mara nyengine waachie wafanya harakati zao kwani wote hao ni Wazenji.
   
 9. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,739
  Likes Received: 8,005
  Trophy Points: 280
  Si ndio kauliza au ulitaka aulize kwa lugha ile mnayotumia kusoma albadili ndio uelewe?

  Moja ya mambo yaliyosheheni ni jazba na majibu ya kukurupuka kama haya yako. Na jambo lingine ni uchochezi kama ule wa MziziMkavu wa kukata picha nusu na kusingizia ni unyama wa Israel.

  Mimi pia nina swali; Yale mauaji yanayoendelea Syria kwa muislamu kuua waislamu wenzake 8099, yana uhalali wa kitabuni ndio maana hatuyakemei au?
   
 10. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukishuhulikia na lisilo kuhusu utapa lisilo kuridhi
   
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,739
  Likes Received: 8,005
  Trophy Points: 280
  Zanzibar ni mkoa kwenye nchi yetu, ni sawa na vile tunavyofuatilia mambo ya Ikwiriri. Na una uhakika gani kuwa muanzisha mada hatoki mkoa huo?
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,739
  Likes Received: 8,005
  Trophy Points: 280
  Majibu ya kipemba haya
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pole bwana kama nimekujibu vibaya.Ila haya ya wazenj mkuu tumeyachoka wacha tu wajitenge.
   
 14. m

  mzaire JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhusu JAZBA nadhani CDM (wakristo) ndio wanaongoza Tz hii mpaka mnakatana kwa mapanga na kuuwana Arusha bila ya sababu za msingi, kuhusu majibu ya kukurupuka hapo utaona kuwa unaudhaifu wa kufikiri, ivo nyinyi CDM(Wakristu) mlifikiri nini mliposema mikoa ya kaskazini ya Tz inatakiwa ijitenga na Tz kwa 7bu tu wafuasi wengi wa CDM kama huko si kukurupuka au ni nini ? Tafakari kabla ya jazba na chuki zako dhidi ya uislam na waislam kaka.

  Na pale Rwanda, Burundi na DRC waliowauwa zaidi ya watu 1,000,000 na wao pia ni waislam, na yule Charse Stela alikuwa muislam, wacha chuki zako dhidi Uislam, Waislam na Wanaharakati wa UWAMSHO hata ukisema bado huwezi kulazimisha kukubali muungano wa kihuni kwa Wazanzibari.

  Lete hoja za maana usituletee jazba na chuki za kipumbavu hapa!
   
 15. a

  abu alfauzaan Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yote mawili,kwani unataka nin?
  au washakuudhi?
  fanya yko,ucshughulikie mambo yasokuhusu,
  iyo tabia ya kike!
  haiwi kikwete na pinda wamenyamaza
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Hawa wana mtandao wao wa internet, tembelea www.mzalendo.net utapata habari zao
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Tuliza munkari
   
 18. m

  mzaire JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo ni fkira mgando tuuuu, jipe moyo utaishi kwa matumaini kaka.
  Kama ni mkoa mbona mmekwenda(Mkapa+JK+Mwinyi+Sita) kuwaomba ruhusa SMZ ya kuchimba mafuta na kuwafungia UAMSHO ili wasiendelee na harakati zao, sasa ikiwa ni mkoa si mngalitoa agizo tu kwa mkuu wa mkoa wa Zanzibar (Shein) kwanini mnajipendekeza kwao.
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mbona hata tulipokwenda kuchimba dhahabu Nyamongo tuliwaomba viongozi wa kimila/kikabila ndipo tukaanza kuchimba dhahabu, sasa kuna ubaya gani kuwaomba SMZ kuchimba mafuta!
   
Loading...