Wito wa maandamano na mkutao wa chadema kwa wakazi wa dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa maandamano na mkutao wa chadema kwa wakazi wa dsm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, May 25, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na maandamano kutoka sehemu na vitongaji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam na kuishia katika viwanja vya JANGWANI, siku ya Jumamosi, Tarehe 26 Mei, 2012. Wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar, kutoka katika matawi yao mbalimbali wataandamana kuelekea katika viwanja vya Jangwani.

  Wanatakiwa kufika katika viwanja hivyo saa NANE mchana ambapo shughuli rasmi zitaanza katika viwanja hivyo. Maandamano hayo na Mkutano huo una malengo makubwa mawili:

  1) Kuzindua kampeni ya Kitaifa ya Movement for change
  2) Kutoa muelekeo wa mchakato wa katiba Pia kutakuwa na malengo mengine yatakayoendana malengo makubwa hayo mawili kama vile Vua gamba Vaa Gwanda. n.k.

  Ombi: Tunawaomba wote muhudhurie bila kukosa na mshiriki katika kuleta mabadiliko na ukombozi wa mara ya pili ambao ndio njia pekee ya kututoa hapa tulipo. Aidha tunaomba mfikishe salaam hizi kwa yoyote yule mpenda mabadiliko, maendeleo, ustawi na amani. Karibuni wote.

  Hii ni fursa yetu wana Darisalama, kuonyesha kuwa kweli sasa tunaleta ukombozi wa mara ya pili. Mkutano huu utahudhuriwa na viongozi wote wa kitaifa na viongozi wengine waandamizi. Vyombo vya habari navyo vitakuwepo ikiwa ni pamoja na kurushwa kwa tukio hili moja kwa moja yaani live kupitia ITV.
  Lakini ni muhimu kuhudhurie ili tuweze kukikomboa kizazi hiki na kizazi kijacho kutokana na uzembe, ufisadi, rushwa na kukosekana uwajibikaji.

  Nawashukuru sana na karibuni sana kesho.

  Imetolewa na Selemani Rehani
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kila la heri katika maandamano na mkutano wenu.
   
 3. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  naomba itolewe taarifa rasmi kila sehemu yanaanzia wapi na sa ngapi, taarifa yako haijakamilika mkuu
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu wasiliana na tawi lako ujue maandamno yenu yanaanzia wapi au yanaungana na tawi gani, au mnaungana na matawi gani, mahali gani na muda gani ili kuelekea Jangwani.
   
 5. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja...

  CHADEMA cha Jenga Nchi..
   
 6. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  thanx mkuu kwa taarifa, lakini ile taarifa ya polisi kuzuia tunaipinga au wamebadili maamuzi
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nyny viongozi tumieni busara

  watu wakiuawa kwa ukaidi wa kuvunja sheria itakula kwenu
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haya kila la kheri kwenye maandamano!
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  atakayeua ndo itakula kwake,sijawahi sikia mtu kaandamana tu na akafa, labda una maana nyingine
   
 10. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waambie policcm waache kubaka demokrasia
   
Loading...