Wasiwasi ndo akili: Malipo ya dowans yameshafanyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiwasi ndo akili: Malipo ya dowans yameshafanyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 15, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Jinsi habari za Babu wa Loliondo na Muswada wa Marejeo ya Katiba zilivyoteka akili na ufuatiliaji wa Watanzania,kuna wasiwasi kuwa yale malipo tata ya Kampuni ya Dowans yameshafanywa kisiri na Serikali na ndo maana waliolipwa wametakiwa wajiondoe NEC ndani ya siku 90.Hao ni RA, EL na AC.Karaga baho!!!
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mhh inawezekana hii naona sa hivi hatusikii kabisa dowans
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wenye data tunaomba mzianike maana nchi ni yetu sote.
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hii imekaa kiukweli ukweli. Aisee inawezekana kabisa. Tupe nyeti mkuu
   
 5. haibreus

  haibreus JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 296
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Muzee tafadhali bwana mgao hakuna for now so sos ossso soooo usilete mambo mengine hapa wasije zima tena mitambo yao banaaa!maana kama kuibiwa hakuna asiejua kama tushaibiwa sos oss so sos soooo kaa kimya!
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama wameshalipwa maana nimesoma Alhamisi kwenye The Express kuwa kwenye ile kesi ya kupinga malipo akina Fungamtama wameambiwa wawasilishe utetezi wao May 29... kwa hiyo kesi bado inaendelea na sidhani kama mahakama inaweza kukubali kuendelea na kesi hewa
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,270
  Trophy Points: 280
  Siku nyingine anza na neno Tetesi. hakuna kitu kama hicho we are watching this drama very closely than u think. na hii imekula kwao mafisadi hakuna watakachoambulia, na moja ya hatuwa hizo ndio hayo magamba yao wanayovuana. wait n see.
   
 8. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inawezekana?
  Wataalamu wa hesabu hebu tuambieni je, inawezekana fedha nyingi kama hizo zikzalipwa na zikzpotezewa kwenye record zetu? Wapi tuchungulie kuona kama hilo ni kweli accountants and auditors hiivi zikilipwa logiczlly zingepostiwaje?
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unaogopa mgao?? teh teh teh, huji mitambo imekodishwa bado sakata lingine lakuwalipa litafuata, oyoyo.....
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  :bored:
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  aisee we jamaa niaje...
   
 12. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hayo malipo yamefanyika, ila nina wasiwasi na trillion 1.7 zile zilizotolewa na rais kwa ajili ya kuhuisha makampuni yaliotetereka wakati wa mtikisiko wa uchumi. Zitto kabwe amejimwa majina ya makampuni yaliopewa hizo pesa, naona hapo kuna kitu kama sio ufisadi.
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kwani malipo mangapi ya Serikali yanafanywa bila kutaarifu umma? karaga baho...
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mahakama imesema tulipe,

  wewe kama nani unasema tusilipe?
   
 15. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mahakama gani:ile au hii? Hii bado,ile tayari.RA hadi sasa ana ball possession 80,Serikali 20
   
 16. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  TANESCO wamejifanya kukosea malipo ya usafirishaji ya Dowans kumbe ndo zile bilioni zimeanza kulipwa....nchi hii!!
   
 17. O

  Omr JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanini watu wanaanzisha topic bila kuweka source, hizi habari za vijiweni zinaletwa humu halafu watu na akili zao wazijabili. Weka source yako ndugu ili watu tupate uhakika na unalosema. Hii imekua ndio tabia ya JF na ma MODS wanaendekeza huu upumbavu.
   
 18. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Source iko wazi.Kila kitu kinaonekana.Kwani hakuna malipo yaliyoongezwa kwenye malipo ya usafirshaji wa mitambo ya Dowans kuileta Tanzania? Kwani malipo yote yanayofanyika Serikalini yana source? Umezoea kukrem tu source,source.........jadili hoja,acha hizo!
   
 19. O

  Omr JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hoja lazima iwe na maana iweze kujailiwa sio unaleta stori ulizosikia kwenye daladala.
   
 20. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  kAMA VP IPOTEZEE BASI WENGINE WAIJADILI
   
Loading...