G8 Meeting | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

G8 Meeting

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mambore, May 22, 2012.

 1. M

  Mambore New Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilitarajia mapokezi makubwa kwa Kiongozi wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipotokea Marekani alikokuwa amehudhuria mkutano wa Nchi matajiri zaidi duniani G8 kama mualikwa. Mambo hayakuwa hivyo. Kwa kweli hatujamtendea haki kwani pale alikuwa ameiwakilisha Tanzania yetu.
   
 2. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tushachoka mkuu, maana kama kumpokea tushampokea mno mimi mara ya mwisho kwenda kumpokea ilikuwa akiwa anarudi kutoka kubembea nchini Jamaica.
   
 3. ismase

  ismase Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  si ataongea mwisho wa mwezi alichoenda kufanya huku G8? nasikia alifanya presentation ya dk 10 juu ya alivyopunguza umasikini na kuleta maisha bora kwa watanzania.
   
 4. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiyo safari inatusaidia nini katika kuondokana na umaskini wetu au katika kuboresha maisha ya wakulima. Tuliogopa kwenda kumpongeza kwa kutuuza
   
 5. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  kafanya Maisha yamekuwa magumu hata nauli za kwenda kumpokea hamna mwache apokelewe na akina rweyemamu..
   
Loading...