Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maneno hayo yamesemwa na Nape akiwa huko Bukoba. Sijui alikuwa anafurahisha nafsi au alikuwa anataka kuonyesha kuwa kwa cheo alichonacho hawezi tena kwenda South kuchukua rasimu ya Katiba for...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Jana jioni katika taarifa ya habari ITV nilimsikia Nape akisema "hata akibaki peke yake CCM haitakufa" nika baki na maswali kichwani je, yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama, au kashaona kuwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Salam Jf! Kwa ukweli mnaweza kunishangaa nitakapokiri hapa kuwa sijui kazi wanazofanya watu/watumishi walioajiriwa na wizara/idara ya maji. Hivi kazi zao nini? Kwa mfano Dsm pale makao makuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu numesikitishwa sana na taarifa za hivi punde ITV kuwa watu hao wamechoma kanisa la kikristo la TAG(Tanzania Assembly Of God)sasa najiuliza wakristo wamewakosea nini?. kwani uamsho huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ile tamthilia iliyotokea kujichukulia umaarufu mkubwa nchini na inayoendelea ya Anguko la chama cha wananchi CUF kisiasa, imechukua sura mpya siku kadhaa zilizopita baada ya Kamati Kuu ya Chama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Viongozi wa taifa wa CHADEMA wanazunguka nchi nzima kuhakikisha chama kinajikita na kuweka mizizi kila kona ya nchi ili kurahisisha kuchukua dola mwaka 2015. Ni jukumu la wananchi wa maeneo husika...
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Habari hii ipo kwenye blog ya Mjengwa akiwa ameambatanisha na picha za kutosha. Inasema kwamba baada ya mkutano kumalizika pale jangwani, wanachama na wapenzi wa CDM walitembea mpaka kinondoni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wahofia kukabidhi nchi 2015.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila siku ni habari za vua gamba vaa gwanda,yaani ccm na cdm tuu! Vile vyama vingine tulivyokuwa tunafundishwa kwenye civics vimepotelea wapi? Au havina wagombea nini. G9t
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nyoka anapojivua gamba;hufanya hivyo ili kuondoa gamba lile lililochoka ambalo haliwezi tena kutenda kazi ya kumlinda,kujongea na hata kumwezesha katika harakati za kuendeleza maisha yake kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tue May 22, 2012 4:14pm GMT * Current account gap widens 135 pct in yr to Feb * Higher gold exports outweighed by sharp rise in oil imports * Machinery imports up 53 pct on gas, oil exploration...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
INATOSHA!! Mmewadanganya sana watu, utadhani wakivaa magwanda matatizo yao na ya nchi yanakwisha!! Mnatafuta biashara ya magwanda yenu!! Karibuni nazindua operation ya VUA GWANDA NA GAMBA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nilipokuwa natoka zangu shamba nilikuta kunamkutano wa wa CDM unaofanyika shule ya msingi majengo ikabidi niweke pose pale japo kusikiliza moja mbili, Bagamoyo panahitaji nguvu ya ziada pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kupitia tathmini ya uchaguzi wa mwaka 2010 baadhi ya makanisa yaliruhusu kwaya zao kutunnga nyimbo kumnadi mgombea wa CDM mfano halisi ni kwaya ya familia takatifu na kwaya ya pentekoste chipu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtoto ni binadamu yeyote chini ya miaka 18. Sasa ni mhimu chama kupitia BAVICHA waunde kikundi kidogo ndani yake kama vile chaso... hili kuanda watoto katika ukomboz mkubwa wa haki na amani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi: 1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema 2. Chadema Wamgwaya...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa Chadema imezindua Operation Nyingi sana, ikiwemo operation vua Sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa Wanyaturu, wanyiramba na...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
jamani nimesikia mkapa anahojiwa tbc nimepigiwa cm na jamaa yangu ila hajaniambiwa wanazungumzia nini.mwenye taarifa atupatie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi nawasalimu. kutokana na vuguvugu la Muungano kati ya Tanganyika Zanzibar kuendelea kwa muda mrefu na sasa vurugu zinazoendelea huko zanzibar, naombeni mwenye mkataba wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amnesty International Kenya director, Justus Nyang'aya gestures as he addresses the media in Nairobi on March 22, 2012. The latest Amnesty International report finds all five East African...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…